This is what the minister said today;
STAMICO to run Kiwira coal mine
KIWIRA coal mine in Mbeya Region, which has won a 400m US dollars (about 600bn/-) Chinese soft loan will be run by the State...
Waziri Mkuu Mizengo Pinda, maarufu kama "Mtoto wa Mkulima," Ijumaa wiki hii (Juni 30, 2011) atahitimisha mjadala wa bajeti ya ofisi yake ya 2011/12 Bungeni. Hii itakuwa ni fursa nzuri kwa Pinda...
Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimekuwa mstari wa mbele kutetea haki na maslahi ya mtanzania, hii ni kupitia hoja za wabunge wake bungeni, maandamano halali ambayo nguvu ya serikali...
nimekuwa kwenye semina bagamoyo kwa takribani siku sita na sijawahi kushuhudia mgao,na siku kadhaa nyuma nilikuja kwa shughuli zangu binafsi na sikuona mgao hata siku moja
ili kupata uhakika...
Tuesday, June 28, 2011, 6:44
*Imevumbua trekta ndogo inayofanya kazi nyingi kwa wakati mmoja
Na Arodia Peter, Dar es Salaam
KUPITIA Azimio la Zanzibar la mwaka 1992 Tanzania ilibadili sera yake...
How bulk oil will be imported
Tuesday, 28 June 2011 22:41
By Frank Kimboy
The Citizen Reporter
Dar es Salaam
The government will establish three bodies and revive a bulk fuel storage...
Jamani hawa watu wanaitendea haki kweli hii gari lisilo na makosa?
Hawa wapo bungeni wanafanya kazi waliyotumwa na wananchi baada ya kilio kila upande. Kipato na ajira vinaleta amani popote...
Shirikisho lisilo la serikali la kufanya utetezi wa huduma bora za Afya SIKIKA limeponda mkutano wa Bunge la Bajeti liksema lifupishwe badala ya kumalizika August 30. Vikao kwa miezi 3 havina...
Habari zenu JF.......
Nimeona ni vyema kuuliza kama Facebook Account yenye jina "Jakaya Kikwete" ndio ya Rais wetu? na anaimiliki yeye mwenyewe? Maana nataka nimwandikie ujumbe mzito.
Asanten.
Nina hoja ndogo sana ambayo nadhani si vibaya viongozi wetu wakaiangalia.
Siku hizi wanasiasa wetu wanachaguliwa kutoka katika nyanja mbalimbali za maisha. Kuna waganga wa kienyeji, kuna waalimu...
Niliwahi kusema na kufanya watu wafikili juu ya hili na baada ya hapo kila mmoja takuja na jibu lillo la msingi baada ya hapo dhamira yangu itakua wazi na dhahiri kujenga maamuzi mema
kwanz...
naombeni msaada,nafikiri nina tatizo kubwa la kuwa na jealous na nchi yangu,
najisikia vibaya ninavyosikia wageni wanakuja hapa na kufanya mambo ya ajabu,
kuna thread ipo hapa sasa hivi inasema...
Kwa maelezo ya wabunge wanaotetea posho ni kwamba zinawasaidia kutoa misaada kwa raia wao wanaowazonga kila siku kuomba misaada mbali mbali! nami nasema hivi wafuatao nao waunganishwa kwenye mfumo...
Huyu Diwani ni mpiganaji ila Kama kweli walirubuniwa wakaingia kwenye mtego wa kupokea chochote toka kwa wanamagamba mpaka kumtambua meya Wa Arusha sijaelewa ni kwa nini walimgeuka mheshimiwa...
Written by Limbulinjage // 28/06/2011 // Habari // 5 Comments
NA WAANDISHI WETU
28th June 2011
Mmoja ataka uvunjike, mwingine kura ya maoni
Spika wa Bunge, Anne Makinda
Mjadala kuhusu kero za...
Ukimuondo baba na muasisi wa Taifa hili la Tanzazania ambaye amekufa akiwa masikini viongozi wengine waliomfuata hawako hivyo. Ni matajiri wa kupindukia na haieleweki ni jinsi gani wamekuwa...
Kwa kweli hotuba ya Wenje imenitoa machozi kwa kweli nchi yetu inaporwa wizi wa wanyama pori kupitia kia, kagoda, deep green, udini, undugulization, kutochukua maamuzi magumu, mikataba mibovu...
Yaani huwezi kuamini hivi sisi watanzania tumerogwa ? Ni nani alietuambia kwambwa Chama tawala kitatuleta maendeleo ?
Chama hiki kilipewa jukumu la kuongoza nchi ya Tanzania kwa miaka hamsini...