Mumwi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2011
- 592
- 122
Huyu Diwani ni mpiganaji ila Kama kweli walirubuniwa wakaingia kwenye mtego wa kupokea chochote toka kwa wanamagamba mpaka kumtambua meya Wa Arusha sijaelewa ni kwa nini walimgeuka mheshimiwa Lema? Sisi wapenzi Wa chadema Arusha hatukutegemea kutokea kitu Kama hicho tunaomba tu wawe wazi kurekebisha hui utata.