Ezekia Wenje. Peace does not mean absence of war but justice | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ezekia Wenje. Peace does not mean absence of war but justice

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mupirocin, Jun 28, 2011.

 1. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kwa kweli hotuba ya Wenje imenitoa machozi kwa kweli nchi yetu inaporwa wizi wa wanyama pori kupitia kia, kagoda, deep green, udini, undugulization, kutochukua maamuzi magumu, mikataba mibovu, richmond, diwans symbions, ukadiriaji wa kodi kwenye mashirika makubwa. jamani pamoja kuwa ccm inabeza peoples power lakini bado mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe. tutumie nguvu zetu tupambane na polisi tupoke nchi yetu mikononi mwa wanyang'anyi. naomba kuwasilisha.
   
 2. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  hayo maneno kayasema wenje au unayasema wewe. huku kwetu tunasota na mgawo wa umeme kawa kawaida.
   
 3. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Hii sio nchi ya amani bali ni nchi ya imani
   
 4. s

  sirng'udi Member

  #4
  Jun 28, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  big waziri kivuri wa Mambo ya ndani ama kweli sijafanya maamuzi mabaya kujiunga na pipoz power Kwani mnipa burudani endeleni kuibana hivyo hivyo serikali ya mafisadi a.k.a. C.C.M Kwani ukombozi uko karibu na nawashauri wajiunge na chama makini chenye uchungu na taifa letu nacho ni CHADEMA big wenje waziri kivuri wa mambo ya ndani.
   
 5. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #5
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,275
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  amesema sio kwamba watanzania wana amani bali ni uvumilivu tu
  na siku zote uvumilivu una mwisho wake
   
 6. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #6
  Jun 28, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Chadema Oyeeeee. Kila jamaa anayeibuka ni Jembe. Mwanzo nilidhani Silinde ni Jembe zaidi, kumbe yako mengi. Mzee wetu Magale John Shibuda tunakusubiri kwa hamu utukate kiu, wewe sasa ni mwanaharakati wa ukombozi wa watanzania, ule umagamba magamba hebu uvue ili ufanye kazi ya kuwatumikia watanzania vizuri zaidi ukiwa CDM
   
 7. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #7
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Na kuna mbunge wa magamba kamponda wenje kuwa anahamasisha watu wafanye fujo na eti hata yeye wenje kasomeshwa na hela ya ccm, wenje akamjibu hajasomeshwa na hela za ccm KASOMESHWA NA KODI ZA WANANCHI,HELA YA SERIKALI NA NG'OMBE ZA BABA YAKE NA ATAWATETEA WANANCHI HADI MWISHO
   
 8. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #8
  Jun 28, 2011
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Hivi kwanin serikali ya Magamba inaona kama vile huduma zote za jamii inatupatia kama favour fulani hivi na wala sio haki yetu?
   
 9. Mosachaoghoko

  Mosachaoghoko Senior Member

  #9
  Jun 28, 2011
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mh.spika alishindwa afanyeje kwa jinsi alivyokuwa akimkodolea macho wenje na moses macharya wakati wakitoa mchango wa ofisi ya kiranja mkuu duu hadi unajiuliza huyu mama mbona anaonekana kam mjusi aliyebanwa na mlango kwa jinsi alikuwa akitoa macho
   
 10. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #10
  Jun 28, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Wenje wewe wasemee CDM sio Watanzania wote, unajifanya mzalendo wa porojo wakati umewandanganya machinga wa Mwanza kwenye kampeni zako za kugombea ubunge, eti mkinichagua mtabakia maeneo ya makoroboi, bugarika, miringo, mitaa ya uhuru na nyerere, baada ya kukuchagua wewe na madiwani wako wa CDM na Meya wenu mmewatimua Machinga wote na mama lishe, saizi huko bungeni unaleta unafiki. Ulionzisha hii thread toa machozi ukimaliza kusoma hi post
   
 11. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #11
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,623
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Nimesikiliza mchango wa Wenje na kabla ya hapo kulikuwa na mchango wa kijana mmoja wa kigoma, hatimaye nikaelewa kabisa kwamba CCM wajipange upya!

  Yaonekana wabunge walio wengi ndani ya CCM hawasomi. Hawana mifano ya kulinganisha na maelezo yao ktk dunia hii na mara nyingi reference yao kubwa ni baba wa taifa alisema ......... Huko kwingine hawajui maana hawasomi!
   
 12. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #12
  Jun 28, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280


  kwenye red....uko sahihi mkuu..hawasomi kabisa
   
 13. k

  kichenchele JF-Expert Member

  #13
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 522
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  CCM- siyo mama yangu
   
 14. k

  kichenchele JF-Expert Member

  #14
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 522
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  si ajabu mtu mwenye kiu cha maji akaenda kukojoa
   
 15. magnificent

  magnificent Senior Member

  #15
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimeipenda hii
   
 16. magnificent

  magnificent Senior Member

  #16
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  magamba lazima yaondoke, wakati wa magamba umefika mwisho.
   
 17. Y

  Ye Nyumbai Senior Member

  #17
  Jun 28, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Viongozi wa ccm kutosoma ndiko kulikopelekea ksaini mikataba mibovu inayotugharimu sasa hivi!!!
   
 18. kessy kyomo

  kessy kyomo Member

  #18
  Jun 28, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 72
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  wewe hapo juu hacha uongo mi ni mkazi wa mwanza - nyamagana hakuna machinga hata mmoja aliyefukuzwa iwe makoloboi,karuta,uhuru hata rwegasore acheni uongo jamani chadema wameshaiteka mwanza yote ndugu yangu uje ujionee siku moja
   
 19. mgaza2001

  mgaza2001 Member

  #19
  Jun 28, 2011
  Joined: May 5, 2010
  Messages: 96
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 15

  hakuna njia ya kuwaondoa magamba kweli, unapata hasira mpka ukiona gari la stk au stj mtaani kama unalitamani hv. Ccm hela za wananchi wanaona ni zao.
   
 20. Lobapula

  Lobapula JF-Expert Member

  #20
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 1,431
  Trophy Points: 280
  Hayo yake kwa kweli,
   
Loading...