nyabhingi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 15,513
- 19,998
nimekuwa kwenye semina bagamoyo kwa takribani siku sita na sijawahi kushuhudia mgao,na siku kadhaa nyuma nilikuja kwa shughuli zangu binafsi na sikuona mgao hata siku moja
ili kupata uhakika nikawauliza wakazi wa bagamoyo takribani kumi na wote walisema hawaujui mgao na wanashangaa watu wanaolia mgao.
hivi ni kikwete aliyeagiza umeme usikatwe au tanesco wanajipendekeza?
by the way bagamoyo inajengwa EXPORT PROCESSING ZONE,INTERNATIONAL AIRPORT,na STENDI YA MABASI YA ARUSHA NA MOSHI INATARAJIWA KUWA BAGAMOYO...