Miaka 50 ya UHURU na hatima ya TANZANIA !

KakaNanii

JF-Expert Member
Sep 28, 2008
325
52
Yaani huwezi kuamini hivi sisi watanzania tumerogwa ? Ni nani alietuambia kwambwa Chama tawala kitatuleta maendeleo ?

Chama hiki kilipewa jukumu la kuongoza nchi ya Tanzania kwa miaka hamsini sasa. Lakini bado matatizo ni yale yale TANGU UHURU , tunapigana na UJinga, Maradhi na umasikini.

Hivi sasa kuna hiili tatizo la ukosefu wa nishati ya UMEME . Yaani hwa chama tawala wameshaongoza hii nchi kwa miaka 50 lakini bado wanatuletea usanii katika kutupatia umeme. Huyu waziri wa nishati si bora angejiuzuru tu ! Wametufanya Wanzania tuone umeme ni kitu cha anasa sana ! Yaani baada ya kutuongoza kwa miaka 50 tangu tupate uhuru chama tawala ndo wametufikisha hapa , kila kitu shida !
 
[h=1]MWANAID PAWA
user-online.png

Member[/h]
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png



karibu jf...karibu saaana...
 
Back
Top Bottom