Arusha episode 3

nzom

Senior Member
Nov 6, 2010
180
31
Niliwahi kusema na kufanya watu wafikili juu ya hili na baada ya hapo kila mmoja takuja na jibu lillo la msingi baada ya hapo dhamira yangu itakua wazi na dhahiri kujenga maamuzi mema
kwanz ajiulize nani kamweka lema madarakani ok nakubali mie chadema toka nazaliwa kabla ya lema na hao wengine wote haya lema kakataa mwafaka sawa mbowe kakataa sawa nami nakataa baada ya kujibiwa haya maswali yangu yuko wapi felix mrema na shirima katika hili nakubali haya its tringle kua shirima abaki then yuko wapi mrema alietoa mbinu kuisaida cdm hajakubali mpaka na wafanya biashara wote na je lemah who back him up hakuna fikili zaidi sisi vijana wa vyuo twajua toka mazishi ya mama mzazi wa felix alivaa kombati yetu kuja katika mapambano anataka rejea je ulotu na wenzake meya wanamtaka hapana haya tunarudi makubaliano hayo ni nani alikuwemo mwenye maslahi ya chama na kwa nini awe hivyo damu za wazalendo mda wa wazalendo na maendeleo ya arusha yako wapi leo hii yataongelewa wapi na kwa nn na baada ya hapo nini kiitafuata ni mwendelezo napenda wote mfahamu any political arena had influence behind nawaahidi kuwapa siku moja kwa nini muafaa huu hautakuwepo na kwa nini wanapanga kumchafua na kumpeleka mh lema g mahakamani na kwa nini ichukuliwe hivyo na je nini hatma yake wenye nchi na cdm twaja kuamua ama back for that
 
hivi mnapoandika mnakuwa mmelewa pombe au bange?sasa umeandika nini?hoja haieleweki,..jaribu kupangilia sentensi zako..labda akili yangu ndogo but i really don't get you,..punguza jazba na utulie uandike kitu cha maana chenye kueleweka
 
Nimejaribu kuisoma hii thread zaidi ya mara tatu lakini sijatoka na kitu
 
Nzom hebu kuwa mwenye utulivu,mbona hueleweki nini Agenda yako na nini lalamiko lako???
 
Back
Top Bottom