Anaejua kuhusu account ya Rais Kikwete kwenye Facebook.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anaejua kuhusu account ya Rais Kikwete kwenye Facebook....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pat Gucci, Jun 28, 2011.

 1. P

  Pat Gucci Senior Member

  #1
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenu JF.......
  Nimeona ni vyema kuuliza kama Facebook Account yenye jina "Jakaya Kikwete" ndio ya Rais wetu? na anaimiliki yeye mwenyewe? Maana nataka nimwandikie ujumbe mzito.
  Asanten.
   
 2. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,056
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Ni yake kweli mkuu!
   
 3. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Ujumbe gani,mwaliko kwenye harusi au msiba?
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Ya kwake,
   
 5. k

  king11 JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sio rais bali ni mpambe tu wa CCM
   
 6. k

  king11 JF-Expert Member

  #6
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mpambe wa CCM tu
   
 7. FiQ

  FiQ JF-Expert Member

  #7
  Jun 29, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kuna moja ilikua na jina Mh. jakaya Mrisho Kikwete. Hiyo ilikua cjui ya mpambe!baada ya kuona anapelekewa nondo za ukweli akaifunga. Cjui kama kuna nyingine.
   
 8. POSHO MAVYEO

  POSHO MAVYEO JF-Expert Member

  #8
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  account nyingi za ccm na serikali sio za kwenye ni wapambe lakini ujumbe unafika vizuri mbona mkuu

  kama una nondo wewe shusha huko na hapa kwenye hii post
  make sure na speaker wao nape anapata nakala
   
 9. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #9
  Jun 29, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,278
  Trophy Points: 280
  Ni ya kwake lakini inakuwa inaendeshwa na kina Salva Rweyemamu, na kabla ya hapo alikuwa ni Janualy Makamba ndio anaiendesha, kama unakumbuka sakata la mtoto wa Lockerfellar ni Janualy Makamba ndio alilikoroga mpaka MMKWERE akakasilika na ndio maana akamnyima uwaziri.
  [h=1]Jakaya Kikwete[/h]
  [h=4]Basic Information[/h]


  [TABLE="class: uiInfoTable profileInfoTable noBorder"]
  [TR]
  Hometown[TD="class: data"]Bagamoyo
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  Birthday[TD="class: data"]October 7, 1950
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  Country[TD="class: data"]Tanzania
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  Current Office[TD="class: data"]Office: The President Of The United Republic Of Tanzania
  Party: Chama Cha Mapinduzi (CCM)

  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  About[TD="class: data"]The Official Facebook Page Of H.E.Dr.Jakaya Mrisho Kikwete;The 4th President Of The United Republic Of Tanzania
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE="class: uiInfoTable profileInfoTable noBorder"]
  [TR]
  Political Views[TD="class: data"]Moderate
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  Relationship Status[TD="class: data"]Married to
  Salma Kikwete
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  Interests[TD="class: data"]Basketball,reading,spending time with family and friends.
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  Education Info[TD="class: data"][h=4]Education Info[/h]College:

  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  Gender[TD="class: data"]Male
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE="class: uiInfoTable profileInfoTable noBorder"]
  [TR]
  Screen Name[TD="class: data"]Kikwete
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]  [h=4]Likes and Interests[/h]


  [TABLE="class: uiInfoTable mtm profileInfoTable"]
  [TR]
  Likes[TD="class: data"]TANZANIA, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Dr. Mohamed Gharib Bilal, Mama Salma Kikwete
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 10. POSHO MAVYEO

  POSHO MAVYEO JF-Expert Member

  #10
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
 11. POSHO MAVYEO

  POSHO MAVYEO JF-Expert Member

  #11
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hiyo kitu imesemwa sana lakini watanzania wenye hatujaia
  nini hasa mkuu ni PM au iweke hapa tafadhali
   
 12. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #12
  Jun 29, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Sio yeye bana ni wapambe tu,kwanza anajuwa kutumia internet????swali tu hilo
   
 13. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #13
  Jun 29, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,278
  Trophy Points: 280
 14. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #14
  Jun 29, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,278
  Trophy Points: 280
  Halafu unaweza kumpata huyu dada zaidi hapa.

  • [​IMG]Lisa M Rockefeller
   Tanzania, Tears of Thee......How can these irresponsible regimes survive for so long? If Tanzania cannot uprise against Kikwete's regime, then their condition will never change. Bombs will always explode. RIP the victims of Bongo-La-Mboto.
   
 15. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #15
  Jun 29, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Hahaha Bongo la mboto sio mchezo sijui ndio wapi huko......
   
 16. POSHO MAVYEO

  POSHO MAVYEO JF-Expert Member

  #16
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mkuu shukurani hii kitu sikuipata la leo japo ni old story lakini ni ya muhimu sana
  kumbe watu wa nje wanamuogopa kikwete kuliko sisi na majini waliyokwisha mpa ni noma

  Dada nimesoma na CV yake ana haki zote kumuita jk damm
  hii nitairudisha juu maana haliyotuonya sasa yanatukuta
   
Loading...