Katiba mpya izingatie mipaka ya mamlaka ya rais na umiliki wa mali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katiba mpya izingatie mipaka ya mamlaka ya rais na umiliki wa mali

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Fungu la kukosa, Jun 28, 2011.

 1. F

  Fungu la kukosa Member

  #1
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 16, 2009
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukimuondo baba na muasisi wa Taifa hili la Tanzazania ambaye amekufa akiwa masikini viongozi wengine waliomfuata hawako hivyo. Ni matajiri wa kupindukia na haieleweki ni jinsi gani wamekuwa matajiri kiasi hicho na ilihali hawakuwa ni wafanyi biashara katika muda wao wote wa utumishi. Mzee Ruhsana Mkapa wamewaibia watanzania mamilioni ya fedha na sasa JK Kaujanjaujanja naye afuata nyao za wenzake kwa kujilimbikia mali na kibaya zaidi kuruhusu hata mwanae kufanya atakalo kama kwamba na yeye ni Rais kama babaye. Mwinyi anadaiwa kuwa na hisa katika hotel ya SeaCriff na Silversands zinazomilikiwa na Kabachiori wa kihindi Lamesh Patel, Mkapa naye kajenga mahotel huko Bondeni south Africa katika miji ya Captown na Durbarn na zaidi ya hayo kajimilikisha mgodi wa Kiwira kwa bei hewa pasina ridhaa ya Wananchi. Kikwete ni vigumu kwa sasa habari zake kueleweka kwa mapana .
   
Loading...