CHADEMA na Amani ya Tz. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA na Amani ya Tz.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Paul Happe, Jun 29, 2011.

 1. P

  Paul Happe New Member

  #1
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimekuwa mstari wa mbele kutetea haki na maslahi ya mtanzania, hii ni kupitia hoja za wabunge wake bungeni, maandamano halali ambayo nguvu ya serikali huingilia kati na kuyaita haramu, vyombo vya habari na vijalida mbalimbali bila kusahau matumizi ya tekinolojia kama hii 'social network' ya jamii forum. Nawashangaa wafuasi wa chama cha kijani wakijaa juu kwa hoja ya kulinda amani, hapana..ukweli ni kuwa wanaogopa uwazi unaowekwa hadharani na Chadema hivyo wanadhani wanachonganishwa na wananchi. Hainingii akilini pale mbunge anaposema vurugu kwenye taasisi za elimu ya juu zinachangiwa na chadema kwa kuwa wanarubuni wanavyuo kugoma, bado haingii akilini, nadhani mwanafunzi wa chuo kikuu ana upeo mpana wa kuona hali halisi na kujuua ukweli ulipo.
  CCM waache uwoga, hili ni jukwaa la siasa inabidi wagombane kwa kutumia hoja zilizo na tija na siyo zile potofu.
   
 2. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  "The debate over whether the prevailing tranquillity in Tanzania constituted real peace or it is just an absence of war rocked the august House yesterday.The assertion by some members of Parliament from the opposition that Tanzania did not have peace because of wanton acts of injustices and infringement of people’s rights drew strong condemnation from a ruling party legislator who quoted the holy scriptures to argue his case.

  Speaking when debating the Prime Minister’s Office 2011/12 budget yesterday, Salum Barwany (Lindi Urban-CUF), Ezekiel Wenje (Nyamagana-Chadema) and Moses Machali (Kasulu Urban-NCCR Mageuzi) said what prevailed in Tanzania was just “tranquillity associated with fear” and not real peace. They cited poverty, gross injustices, excessive use of force by police and violation of people’s basic rights as indicators of lack of peace" -
  Tanzania News - International News, Tanzania Local News, All Tanzania News, News for Tanzania, News from Tanzania, Tanzania, News!

  Kimsingi watu wanachanganya kati ya kutokuwepo kwa vita na kuwepo kwa amani. Dr. Martin Luther King Jr, once said real peace did not mean the absence of war but the presence of justice. Sasa swali la kujiuliza ni kwamba hapa Tanzania kuna usawa, haki na utawala wa sheria? Au ni utawala wa kutumia nguvu na mabavu ikiambatana na kupora haki za wananchi? Hatuna amani majumbani, barabarani mpaka maofisini, lakini hatuna vita vilevile.
   
 3. M

  Michelle Hilton Senior Member

  #3
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 141
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  pengine bwana Paul bado hujaweza kujua misingi ya hayo maandamano ya amani!!hayo maandamano yenu ni ya uchochezi wa kuivuruga amani,kibaya zaidi hamfanyi maandamano kwa lengo la kuwatia hamasa juu ya maendeleo ya tz ila ni hamasa kwa wananchi kuipenda na kujiunga na cdm kwa kujifanya wanamaendeleo kumbe waroho watafuta madaraka kwa lazima!!watz washashtuka hamtushiki tena maskio
   
 4. n

  nyantella JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45

  Time will tell!
   
Loading...