Viongozi wetu hawatendi wanacho ongea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi wetu hawatendi wanacho ongea

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gaza, Jun 29, 2011.

 1. G

  Gaza Senior Member

  #1
  Jun 29, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 103
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wa Tanzania wachangamkie fursa za soko la East Afrika,
  hiyo ni Kauli ya Raisi Kikwete aliwahi kuitoa,

  kwa wakati huu kuna fursa ya biashara ya vyakula kweny nchi za pembe ya Afrika na Kenya ikiwa miongoni mwa nchi zilizo athirika na ukame watanzania nilivyo gundua hali hiyo tukaamua kuchangamkia hiyo fursa ili tujijengee uwezo wa kibiashara kwa kutumia huo mwanya ulio jitokeza,
  jambo la kusikitisha serekali ambayo imekua ikisisitiza tuchangamkie fursa za soko la EAC imezuia Mahindi ambayo Yana soko nzuri Kenya yasi safirishwe kwenda kenya, hapa tuna jiuliza tuna viongozi wa aina gani , Kama swala ni njaa ni wajibu wa serekali kwenda mashambani inunue Mahindi kwa bei ambayo itamfanya anae taka kupeleka Kenya asione huo umuhimu,

  Naomba mawazo ya wana jamii
   
Loading...