CHADEMA sasa tekelezeni kwa vitendo,msishabikie tu ya wenzenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA sasa tekelezeni kwa vitendo,msishabikie tu ya wenzenu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ziada Mwana, Jun 30, 2011.

 1. Ziada Mwana

  Ziada Mwana JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KWA KUWA SHIBUDA "AMEISALITI" KATIBA YENU KAMA MNAVYOSEMA ("Maana yake hakiamini chama, hivyo hafai kuendelea kuwa mwanachama na mbunge wa chama hicho,"alisema Zitto ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa Chadema.) NA HUYU PIA AKASEMA ("Akizungumza na gazeti hili ofisini kwake jana, Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu alisema kitendo cha Shibuda kupingana na sera ya chama chake, "ni uasi usiovumilika".) NANG'OOLO(mkuu) NAE AKASEMA HAYA ("Kutokana na tukio la jana (juzi) bungeni, Shibuda kutusaliti katika suala la posho za vikao, taratibu za kisheria zitafuata mkondo wake kwani utovu wa nidhamu haukubaliki katika kambi yetu, hata katika chama chetu,"alisema Mbowe na kuongeza:). SASA KWA KUWA KARIBU VIONGOZI WOTE WA JUU NDANI YA CHADEMA MMEFIKIA LENGO MOJA YAANI KUMFUKUZA SHIBUDA, TUNAHITAJI VITENDO KAMILI NA ISIISHIE TU MDOMONI. JE MNATOA SIKU NGAPI? MAANA MMEKOMALIA SANA ISHU ZA WENZENU SASA NGOMA IPO KWENU NA TUONE KAMA MTALISUKUMA JIWE HILO.LAKINI PIA AMEWAPENI LIVE ("Wabunge maslahi binafsi hawashiriki misiba, hawatembelei hospitali wakasaidia dawa, hawaendi kwenye sherehe na hawana msaada wowote kwa jamii. Sasa aina hiyo ya wabunge hatutegemei kwa nini watake posho,"alisema

  Aliendelea,"tabia ya choyo ndiyo inayowasumbua wabunge hao. Lakini pia tujue kwamba kuna wabunge wafanyabiashara na wabunge maslahi, mbunge maskini hawezi kuacha kuchukua posho, sasa ni vema tukatambua tofauti hizo ili tumalize mjadala huo.")
  SHIBUDA ANAONEKANA KUWA JASIRI NA AMEJIPANGA,SI MTU WA KUTISHIWA NYAU.("Sitarajii Chadema kuna viongozi wanaweza kudidimiza demokrasia na uhuru wa kutoa maoni, wakati chama kinafanya maandamano kutoa maoni huru kwa Watanzania. Kama mimi sitakiwi kutoa maoni huru basi hakuna maana ya kuandamana kutoa maoni kwa Watanzania".) KAZI KWENU CHADEMA, KUTEAMA AMA KUMUNG'UNYA. njomba nchale kwa nguluwe kwa ntu nchungu.


   
Loading...