Hivi jamani Mzee Nesamburo yupo wap jamani?

Nicas Mtei

JF-Expert Member
Dec 21, 2010
11,556
7,085
Tangu kuanza kwa vikao vya bunge cjawah kumuona mzee ndesamburo akichangia hoja yoyote ndani ya bunge. c ile ya posho wala ile ya kususia vikao vya bunge.... wala si ile ya budget ya nchi.. msimamo wake kuhusu suala la posho za wabunge ukoje? je anapenda ziwepo au zisiwepo? Mzee kawa kimya ghafla ... tuambizane wadau....
 
Mzee yupo Swaziziland, amealikwa na Muswati kuhudhuria sherehe za kutafuta vitoto, si unajua tena huyu mzee kwa kupenda yale mambo yetu.
 
Je wewe sii mmoja ya wale walioletwa humu na Nape? Nakwambia utamkana bosi wako mara tatu kabla jogoo hajawika! Mmetumwa wengi kwa kodi zetu! Umeingia humu mwezi huuuuuuuuuuuuuuuuuu..je Si nape kakuleta? Bisha?

2011-06-29_1121.png
 
Attachments

  • 2011-06-29_1121.png
    2011-06-29_1121.png
    13.3 KB · Views: 59
Je wewe sii mmoja ya wale walioletwa humu na Nape? Nakwambia utamkana bosi wako mara tatu kabla jogoo hajawika! Mmetumwa wengi kwa kodi zetu! Umeingia humu mwezi huuuuuuuuuuuuuuuuuu..je Si nape kakuleta? Bisha?

.

2011-06-29_1121.png

Unachorea majibu mstari
 
Mie ningependa nijue tu yupo wapi Chiku Abwao si ni mmoja wa wanawake maalumu wa cdm?
 
Tangu kuanza kwa vikao vya bunge cjawah kumuona mzee ndesamburo akichangia hoja yoyote ndani ya bunge. c ile ya posho wala ile ya kususia vikao vya bunge.... wala si ile ya budget ya nchi.. msimamo wake kuhusu suala la posho za wabunge ukoje? je anapenda ziwepo au zisiwepo? Mzee kawa kimya ghafla ... tuambizane wadau....

Mzee Philemon Ndesamburo keshazeeka, hawezi changia lolote tena siku hizi. Nashauri ajiuzulu tuchague Mbunge mwingine wa Jimbo la Moshi Mjini ambaye lazma atakuwa CCM
 
Tangu kuanza kwa vikao vya bunge cjawah kumuona mzee ndesamburo akichangia hoja yoyote ndani ya bunge. c ile ya posho wala ile ya kususia vikao vya bunge.... wala si ile ya budget ya nchi.. msimamo wake kuhusu suala la posho za wabunge ukoje? je anapenda ziwepo au zisiwepo? Mzee kawa kimya ghafla ... tuambizane wadau....

ndege ikishapaaa na kuingia kwenye njia yake, rubani anaruhusiwa kufanya kuzunguka kidogo.
 
Je wewe sii mmoja ya wale walioletwa humu na Nape? Nakwambia utamkana bosi wako mara tatu kabla jogoo hajawika! Mmetumwa wengi kwa kodi zetu! Umeingia humu mwezi huuuuuuuuuuuuuuuuuu..je Si nape kakuleta? Bisha?

2011-06-29_1121.png

Ina maana yeyote anayeipinga CDM ameletwa na Nape? kazi kweli kweli.
 
Tangu kuanza kwa vikao vya bunge cjawah kumuona mzee ndesamburo akichangia hoja yoyote ndani ya bunge. c ile ya posho wala ile ya kususia vikao vya bunge.... wala si ile ya budget ya nchi.. msimamo wake kuhusu suala la posho za wabunge ukoje? je anapenda ziwepo au zisiwepo? Mzee kawa kimya ghafla ... tuambizane wadau....

Mzee Ndesamburo yupo ndani ya mjengooo... nowdays anafanya technical works, kuongee kaacha vijana waanze kwanza. tulia moto wake utauona sooon!
 
Huku kuwaachia vijana waongee lakini mshahara anachukua yeye ni ufujaji wa kodi za wananchi kwa hili sikubaliani nalo inabidi apumzike na kumwachia mkwe na mtoto wake waendeleze mapambano na pengine nafasi yake amtafute mwanae mmoja amridhishe.
 
Tangu kuanza kwa vikao vya bunge cjawah kumuona mzee ndesamburo akichangia hoja yoyote ndani ya bunge. c ile ya posho wala ile ya kususia vikao vya bunge.... wala si ile ya budget ya nchi.. msimamo wake kuhusu suala la posho za wabunge ukoje? je anapenda ziwepo au zisiwepo? Mzee kawa kimya ghafla ... tuambizane wadau....

hivi unafikiri huyu mzee anashida ya hela mpaka agombanie hizo posho? ukitaka kujua alipo na msimamo wake waulize wachaga wa moshi watakwambia. naweza nikasema hela anayotumia kwa ajili ya wapiga kura wake ni mara 1000000.................times mshahara anaopewa bungeni.
 
Mzee ndesa mbona yupo mjengoni!..jana nilimuona alikuwa siti ya nyuma ya wenje.
 
hivi unafikiri huyu mzee anashida ya hela mpaka agombanie hizo posho? ukitaka kujua alipo na msimamo wake waulize wachaga wa moshi watakwambia. naweza nikasema hela anayotumia kwa ajili ya wapiga kura wake ni mara 1000000.................times mshahara anaopewa bungeni.

sasa kama ana hela za kutosha kwa nn asipumzike nyumbani tu? anafuata nn bungeni wakat hachangii wala haungi mkono wala kupinga hoja ndani ya mjengo? tuache ushabiki jaman... tuangalie uhalisia ulivyo
 
Si yeye tu,kuna J.Selasini wa rombo,Mr 2,Chiku Abwao na wengine kaibao wapowapo tu,mi nadhani uchaguzi ujao tuweke
makamanda watupu kama Lema,lissu.zitito,mdee,mbowe,wenje.hata tukiamua kufunga milango ili tupigane tutakuwa na uwezo wa kuwacharaza.
 
ila kweli, hata mama rose kamili bado sijamsikia akitema cheche pale mjengoni.
 
mi naona kama nao wameanza kuwa mizigo ndani ya chama..... ina maana hawawezi kuenda sawa na ile kasi ya hawa vijana wengine? inasikitisha sana wajameni....
 
Back
Top Bottom