Elimu yetu, Walimu Wetu na Hatma Yetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Elimu yetu, Walimu Wetu na Hatma Yetu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Entrepreneur, Jun 30, 2011.

 1. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  [FONT=&amp]Tangazo la nafasi za masomo ya ualimu ngazi ya cheti na stashahada kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Tz. Tovuti: www.moe.go.tz. Linasema hivi "Waombaji wa Mafunzo ya Ualimu ngazi ya Cheti (IIIA) watachaguliwa kupitia "Selforms". .... Watakaohusika ni wahitimu wa kidato cha IV … wenye ufaulu usiopungua Divisheni IV…[/FONT] [FONT=&amp]

  Na Sera ya Elimu inasema hivi; Minimum admission requirements for the teacher education certificate course shall be division iii of the Certificate of secondary Education Examination while for the diploma teacher certificate course, minimum entry qualification shall be division III in the Advanced Certificate of Secondary Education Examination".

  [/FONT] [FONT=&amp]Ingawa si sahihi kupima elimu ya mtu kwa cheti chake cha shuleni bali uelewa wake, but ni kwa nini hawa wenzetu tuliowakabidhi watuendeshee nchi kwa muda huu wanafanya kinyume na tulichokubaliana? Kama Taifa tunaandaa kizazi cha aina gani kukabiliana na Dunia ya Sayansi na Teknolojia tena iliyojaa ushindani wa hali ya juu, kwa kukubaliana na hali ya kufundishwa na watu ambao uelewa wao unatiliwa mashaka? Au ndio sera za CCM? Je tutafika? Others are learning from the best, my people[/FONT]
   
 2. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  "If a nation expects to be ignorant and free, in a state of civilization, it expects what never was and will never be." -[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Thomas Jefferson[/FONT]
   
Loading...