CHADEMA HAWAAMINIKI. Yes I said | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA HAWAAMINIKI. Yes I said

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kalikenye, Jun 28, 2011.

 1. k

  kalikenye JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 1,616
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  Kwa kawaida uongo huwa hauna uwezo wa kuhimili test of time. Leo asubuhi nilikuwa naangalia taarifa ya habari nikakutana na habari ambayo imenishtua ya kwamba CHADEMA wamekana muafaka wa Umeya wa Arusha. Alipoulizwa Mbowe akajibu kuwa wanafanya uchunguzi juu ya suala hilo huku Lema akisema kuwa hatambui muafaka huo. Kitendo cha kutokuwepo kwa kauli thabiti inayoonekana kuwa imetokana na azimio la kikao rasmi, ni kielelezo cha kutoaminika kwa CHADEMA. Nasema hivi kwa sababu zifuatazo: Kwanza, taarifa za kuwepo kwa muafaka tumezipata siku nyingi zilizopita. Kama muafaka huo ungekuwa ni batili, CHADEMA wangeukana immediately au hata kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa Naibu Meya. Pili, kuna tofauti kubwa sana katika kauli kati ya Mbowe na Lema kitendo kinachoashiria kuwa kuna misimamo tofauti kati ya Mbowe na Lema. Tatu, inaonekana kuwa CHADEMA hawana shida na maendeleo bali wanataka mapinduzi bila ya kujali gharama zake. CDM wanatuhadaa! Hawaaminiki!!
   
 2. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tuanze na hii ya kujivua gamba kwanza tupime kama kuna uaminifi, then tuangalie ishu nyengine.

  kwani zimebaki siku ngapi kati ya 90 tulizoahidiwa?
   
 3. M

  Marytina JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
  aKILi ZakO zipo kama za huyu
   
 4. F

  Froida JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  mbona hujasema la waziri Mkulo,Ngereja na Mhando kila mtu akiwa na hamsini zake ebu tufafanulie hilo hukulisikia kwenye hiyo taarifa
   
 5. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #5
  Jun 28, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  1. Kila mtoto atakuwa na Laptop
  2. Umeme wa mgao utakuwa ni Historia
  3. Dodoma kutatengenezwa Ziwa na Meli kubwa italetwa
  4. Mwanza Itakuwa California
  5. Kigoma itakuwa Dubai
  6. Flyovers Dar es Salaam
  7. Ajila mpya kwa vijana Mil 2
  8. Bajaj kila kituo cha Afya
  Inahitajika uwe taahira kama wewe ndipo utaelewa na kukubaliana na M.kwere
   
 6. D

  DENNING Senior Member

  #6
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 172
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  Unataka nani awaamini chadema, wananchi makini au kina nyie ambao mnakurupukia mambo, ambao kimsingi ni wazi umakini wenu unahojika.kwa mfano mapinduzi yamesemwa na nani kati ya waliohojiwa , lema na mbowe au unajisemea tu(baseless argument).tunaiamini chadema mno mno mno.
   
 7. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #7
  Jun 28, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Magamba ndo wanaaminika?
   
 8. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #8
  Jun 28, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Jamani mkija hapa njooni na akili .JF ukija kwa kubabaisha hutafika kokote .Sasa una post 2 unaanzza kulia na na Chadema . Upuuzi huu wa nini jadili hoja ama lete mada ya maana si ujinga huu kaka .
   
 9. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #9
  Jun 28, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  hapa umenena kabisa! Chadema ni kama kichwa cha mwendawazimu!
   
 10. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #10
  Jun 28, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Join Date : 22nd June 2011
  Posts : 4
  Thanks 0
  Thanked 2 Times in 2 Posts
  Rep Power : 0

  siyo kosa lako! ukishatoka kwenye u-junior member utakuwa na akili
   
 11. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #11
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Safisha kwanza kwako ndo utoke nje na kuwaambia wengine wafanye usafi.Mmeshindwa safisha magamba yenu s unaongelea ya chadema
   
 12. K

  Kitwanad Member

  #12
  Jun 28, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tafadhali tofautisha kati ya kauli ya chama na kauli ya mtu binafsi. Lema ameongea kama lema, vinginevyo angesema kuwa katumwa na chama chake. yupo msemaji mkuu-mwenyekiti/katibu mkuu wa chama.vuta subira kwanza.sikia wakuu wamesemaje kama kauli ya chama ndio utoe hoja yako.cdm kiko makini sana.
   
 13. M

  Mkirindi JF-Expert Member

  #13
  Jun 28, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 3,343
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  I thought hii ni forum ya the inteligent ones, kumbe ni forum ya Chadema, I do not support neither parties, Lakini what i see here ni Biasness, akiyukanwa wa ccm , wengi wamapiga vigelegel, Chadema ikiguswa kidogo MARUNGU MIKONONI. fOR YOUR INFORMATION Chadema has its short commings also. Yes wamekua na kigeugeu Arusha, na hatukubali kuharibiwa mji wetu
   
 14. p

  pro2001joe New Member

  #14
  Jun 28, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  "I thought hii ni forum ya the inteligent ones, kumbe ni forum ya Chadema, I do not support neither parties, Lakini what i see here ni Biasness, akiyukanwa wa ccm , wengi wamapiga vigelegel, Chadema ikiguswa kidogo MARUNGU MIKONONI. fOR YOUR INFORMATION Chadema has its short commings also. Yes wamekua na kigeugeu Arusha, na hatukubali kuharibiwa mji wetu"

  Huyu ni yule mbeba mbuzi mgongoni karudi na staili nyingine ya kutokuwa na chama. Jahazi la CDM linakata maji kwa kasi kuelekea magogoni!!
   
 15. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #15
  Jun 28, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  Hiki si chama , ni genge la wanaharakati wahuni !
   
 16. F

  FJM JF-Expert Member

  #16
  Jun 28, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Naweza kuelewa kwa nini unasema CHADEMA hawaaminiki. Ni kwa sababu mlihonga watu fulani fulani ili wakubali kuwa Arusha kuna muafaka. Bila kushughulisha akili mkaamua tatizo la Arusha ni 'vyeo' na sio ukiukwaji wa taratibu na sheria za uchaguzi wa Mayor. Sasa mlungula umeingia mfuko na muafaka wenyu umegundulika ni hewa! Na hapa ndipo unalalamika maana huamini kuwa HELA hainunui akili wala utashi na hata madaraka!
   
 17. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #17
  Jun 28, 2011
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hiyo ndiyo Kasera kwa Kichama kyetu??? Tuangalie Magamba wamefanya nini mhalafu sie ndio tuwe na dira? Basi kazi kwani hapo 2015 tutapoingia madarakani tutamwangalia nani ili tuendeshe nchi??
   
 18. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #18
  Jun 28, 2011
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Muungwana ni kauli! Rudi katika kauli zenu za nyuma baada ya hatuwa hii ya mwafaka na sasa mnabadilika . Hata hivyo hichi chama hakina msemaji maalum?? Inawezekana hii ikawa ni kauli ya mbabe mmoja tu!
   
 19. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #19
  Jun 28, 2011
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135


  Hata wewe ulikuwa na tarehe na sababu za kujiunga. Cha msingi ni uhuru wa kujiunga na kuchukua nafasi ya kueleza kero, kufahamisha, kuburudika na kadhalika. Wajibu wa anaefatilia hoja ni kujibu hoja na unapokosa cha kujibu pita tu.
   
 20. F

  Froida JF-Expert Member

  #20
  Jun 28, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Chama Cha magamba ndicho kilichokosa msemaji inatokea mke wa raisi,watoto wa raisi wote wanaongea kama katibu mkuu wa CCm au Katibu Kiongozi pale Ikulu ha ha ha
   
Loading...