Udom mwaka wa tatu soma hapataarifa kwa wanafunzi wote wa mwaka wa tatu chuo cha sanaa na sayansi za | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Udom mwaka wa tatu soma hapataarifa kwa wanafunzi wote wa mwaka wa tatu chuo cha sanaa na sayansi za

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by 2simamesote, Jun 29, 2011.

 1. 2

  2simamesote Senior Member

  #1
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 27, 2011
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TAARIFA KWA WANAFUNZI WOTE WA MWAKA WA TATU CHUO CHA SANAA
  NA SAYANSI ZA JAMII; CHUO KIKUU CHA DODOMA
  WANAFUNZI WOTE WA MWAKA WA TATU CHUO CHA SANAA NA SAYANSI ZA JAMII
  WALIOSIMAMISHWA MASOMO WANAJULISHWA KWAMBA WANATAKIWA KURIPOTI
  CHUONI SIKU YA JUMAMOSI TAREHE O2/07/2011 SAA 4 (NNE) ASUBUHI ISIPOKUWA
  WANAFUNZI WAFUATAO:
  (A)WALE AMBAO WANADAIWA ADA, GHARAMA ZA MALAZI, MITIHANI NA
  GHARAMA NYINGINE
  (B) HAWA 15 WALIOTAJWA HAPA CHINI AMBAO WATAPEWA TAARIFA ZAO
  BINAFSI NA MAMLAKA HUSIKA
  NA
  .
  JINA KAMILI JINSI NAMBA YA USAJILI KOZI
  1 TINDO, Salumu M T/UDOM/2008/01362 BAPSPA
  2 TAIRO, Edwin D. M T/UDOM/2008/04784 BBA
  3 NGAIZA, Paschal M T/UDOM/2008/02895 BAPSPA
  4 MESSO, Baraka M T/UDOM/2008/03807 BAPSPA
  5 MELCHIORY, Very M T/UDOM/2008/03588 BAIR
  6 EMMANUEL, Vincent M T/UDOM/2008/02698 BADS
  7 BONIFACE, Alfred M T/UDOM/2008/03692 BASO
  8 MUSHI, Alex N M T/UDOM/2008/07514 BCOMACC
  9 MSANGI, Geofrey M T/UDOM/2008/05990 BAEC
  10 JULIUS, Samora Mnyonga M T/UDOM/2008/04493 BAPPM&CD
  11 BARADYANA, Romano M T/UDOM/2008/02768 BAPSPA
  12 GOODNESS, Moses F T/UDOM/2008/04482 BAPPM&CD
  13 SELEMAN,Bakari(KATANGA) M T/UDOM/2008/02854 BAPSPA
  14 ALLY, Hassan M T/UDOM/2008/02842 BAPSPA
  15 SHAABAN, Mustafa M T/UDOM/2008/07456 BAEC&ST
  KWA TAARIFA HII WANAJULISHWA KUWA USAJILI UTAFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI
  TAREHE 02/07/2011 NA JUMAPILI TAREHE 03/07/2011 TU. KILA MWANAFUNZI
  ANATAKIWA KUJA NA NAKALA HALISI ZA VITHIBITISHO VYA MALIPO YA ADA NA
  GHARAMA NYINGINE AMBAZO ALIKUWA AKIDAIWA. MWANAFUNZI AMBAYE
  HATATIMIZA MASHARTI HAYA HATAPOKELEWA CHUONI. MITIHANI ITAANZA
  JUMATATU TAREHE 04/07/2011 ASUBUHI
  SEHEMU MAALUM YA MAPOKEZI NA USAJILI ITAKUWA KWENYE KIWANJA CHA
  MPIRA WA MIGUU KILICHOPO MITA MIA MBILI KUTOKA OFISI ZA MAMLAKA YA MAJI
  SAFI NA MAJI TAKA DODOMA (DUWASA), MKABALA NA ZINAPOJENGWA OFISI ZA
  BENKI KUU YA TANZANIA
  IMETOLEWA NA OFISI YA MAKAM MKUU WA CHUO
  CHUO KIKUU CHA DODOMA
   
 2. Sabry001

  Sabry001 JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,064
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Mh! Usajili wa jmosi na jpili then jtatu mitiani inawezekana kwa udom niijuayo mie? Full kujivuta vuta!
   
 3. M

  Mpigania haki Member

  #3
  Jun 29, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwaka wa tatu wote,katika collage ya sayansi ya jamii mnatakiwa kuripoti tarehe 2 july mwaka 2011 saa nne asb ktk kiwanja cha mpira makulu ambapo ndo mtakapo fanyiwa registration,then juma tatu ni siku ya kuanzi mitihani,tafadhali uje na risit zote na,mjulishe na mwenzako,kwa maekezo zaid tembelea website ya chuo.
   
 4. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  hope those exams will be fair (questions)
   
 5. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2011
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  kila la kheri na karibuni mtaani! hata kama hujalipa ada we nenda tu..mtihani utafanya ila matokeo ndo kimbembe! ndiyo vyuo vyetu hata cc wakati tunasoma,.mbwembwe nyingi!
   
 6. misorgenes

  misorgenes JF-Expert Member

  #6
  Jun 29, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 202
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  na zile risiti zilizoachwa utawala? Ambazo hazijafanyiwa kaz hadi leo?
   
 7. k

  kibunda JF-Expert Member

  #7
  Jun 30, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hao walioachwa ndio wameonekana cdm nini? Maana wakuu wa wilaya walishauri warudishwe ccm pekee. Kama itakuwa hivyo nchi hii karibia isitawalike. Wanatengeneza bomu. Ubaguzi wa kiitikadi haukubaliki. Polisi wameanza kufanya hivyo, vyuo nao wakifuata tutaona ni taasisi gani itafuatia.
   
 8. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #8
  Jun 30, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Dah!maskini,hawa wahitimu wa udom wana kazi kweli kwel....
   
 9. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #9
  Jun 30, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,115
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  tena sehemu ya mapokezi ni KM 6 kutoka chuo kilipo sa nashindwa kuwaelewa kwanini wasifanye chuoni kama siku zote zinapofanyika.
   
 10. 2

  2simamesote Senior Member

  #10
  Jun 30, 2011
  Joined: Jun 27, 2011
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kikula(VC) alisema walitengeza mabomu ya petroli may be ndo wanayo ogopa pale watakaposhindwa kuwadahili wale ambao hawa ada kumbuka majority in watoto wa wakulima na madeni hawajamaliza na hawataki kupokea m2 km huyo,Tafakari je serikali ya CCM ni ckivu?
   
 11. Plato

  Plato JF-Expert Member

  #11
  Jun 30, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 421
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  udom msikubali ujinga wa kuwapoteza wenzenu,wala kufanyishwa mitihani kijeshi.jiandikisheni kwanza vizuri tu kisha mgome hadi wote mrudi.je masikini wasio na ada inamaanisha ndo wagomaji.akili za makalio hizi
   
 12. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #12
  Jun 30, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  wote wadahiliwe bila masharti
   
 13. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #13
  Jun 30, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,165
  Likes Received: 1,251
  Trophy Points: 280
  Msikubali hawa wahuni wakawagawa, Solidarity forever. Jiandikisheni kisha mkisharudi mkatae kuingia class mdai wote warudishe bila mashariti.

  Huu ni ubaguzi wa wazi, ina maana ikiwa mtu hana ada ndo asisome?
   
Loading...