CCM naombeni mnifafanulie!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM naombeni mnifafanulie!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Eiyer, Jun 30, 2011.

 1. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,672
  Trophy Points: 280
  Kama wakati tunapata uhuru tulikua tunalingana uchumi na China,na mabadiliko iliyopata china ndani ya hii miaka 50,kisha linganisheni na namna tunavyoogelea kwenye umaskini pamoja na utajiri wote tulionao pengine utajiri mwingine China haina,hii serikali imefanya nini ambacho mnakipigia kelele kuwa ni mafanikio?Tena mnaongea mnaojiita wasomi wa degree,phd nk,hivi niambieni uhalali wenu wa kutetea umaskini wetu!!!!
   
Loading...