POSHO MAVYEO
JF-Expert Member
- Jun 28, 2011
- 371
- 112
Leo katika mbunge pamoja na shutuma mbalimbali , ndg stella manyanya kama mbunde alisema amekuwa anapata message za simu na baada ya kufuatili amegundua zinatoka kwa mke/mchumba wa dr slaa
1. kwanza hii hoja inawasaidia nini wanajimbo lake?
2. Ana toa ishara gani kwa majimbo yatakayogombewa na wanawake 2015?
3. Kwa nini ametumia muda wa serikali na kodi ya wananchi kueleweza mambo yake binafsi alivyo na migogoro na watu, je hii
sio matumizi mabaya ya ofisi? maana aliye mtuhumu (josephina) anauwezo wa kuongea bungeni kwa nini hakutumia
mahakama?
mwisho natoa raia kwa watanzania wakati wa katiba mpya tutoe maoni na mimi moja ya maoni nitayotoa ni kuhusu mipaka ya mambo wabunge wanapashwa kuonyea, wabunge kutumia bunge kutoa mambo yao binafsi badala ya hoja za kiwakishi (kuwakilisha majimbo) sasa umekuwa mchezo wa kawaidi.
sasa imefika wakati mbunge anapoongea mambo akiwa mazingira ya kibunge aongee kama mbunge ndio maana hata waziri mkuu anaweza kuhuzwa kitu bunge akajibu kwa kusema HATA NYIE mnaona donge, hizo ni personal attack kwenye hoja yenye msingi kitaifa.
kwa waokumbuka mwaka jana waziri mkuu wa uingereza bwana Gordon Brown ilimghalimu kufunga safari kwenda kuomba radhi kwa mama moja kwa kauli yake mbovu mbovu.
huu ni wakati wa viongozi kuwa kama viongozi (pofesional) na sio kama wapiga debe.
mchezaji wa LIVERPOOR (BEBAL) alipigwa faini mwaka huu kwa kujiingiza kwenye maongizi ya washabika zidi ya refa na kutoa unfair comment hali akijua kwa STATUS yake alipaswa kuwakilisha malalamiko yake kwa kutumia kanuni.
Taifa sasa limekosa sura ya taaluma kila mtu ana kuwa mropokaji hata wanatunga sheria sasa wameingia kwenye mambo yasiyo na staa kwa lengo la kudhoofisha siasa za wana harakati kumekuwa na misemo yakijinga ambayo imekuwa ikitumia pia na wanasiasa wa kenya pale wanapokosa hoja badala ya kukubali watasema UNATAFUTA UMAARUFU kwa wananchi.
Professionalism is the adherence to a set of values comprising statutory professional obligations, formally agreed codes of conduct, and the informal expectations of patients and colleagues.