Jumuia za CCM kujiita Jumuia za Taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jumuia za CCM kujiita Jumuia za Taifa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Prophet, Jun 30, 2011.

 1. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CWT ni tawi la propaganda la CCM, lakini wanajifanya ati ni Umoja wa Wanawake Tanzania.

  Jumuia ya Wazazi Tanzania unaweza dhani ni taasisi isiyofungamana na upande wowote, lakini angalia picha hii:

  Songea.jpg
   
 2. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Ilikuwa enzi ya chama kimoja lakini sasa hivi inabidi wabadili jina wawe kama uvccm, na wao wajiite UWCCM. UMOJA WA WANAWAKE WA CCM. FULL STOP.
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Washafulia hawa magamba hawana jipyaaa
   
Loading...