Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwenye gazeti la Habarileo kuna taarifa kuwa Mwakilishi wa Jimbo la Mji Mkongwe, Ismail Jussa Ladhu (CUF), ameitaka serikali ya Mapinduzi Zanzibar kujaza nafasi za viongozi watendaji katika ngazi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Wanajamii Forums, Natumaini hamjambo. Nilikuwa napitia Kanuni za ku operationalize Sheria ya Gharama za Uchaguzi, ( Elections Expenses Act, 2010), No. 4 of 2010 REGULATIONS, (made under section...
0 Reactions
165 Replies
20K Views
Mbunge Huyu naomba angesasidiwa wakalimani ili aweze kujieleza kwa Lugha yake maana Uwezo wake unatia mashaka hadi Spika na Wenyeviti hupata shida kumuelewa kama anachangia au anauliza swali!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa mwenendo huu wa bunge naona ndio mwisho wa CCM. Chanzo kikuu cha CCM kutofanya vizuri 2010 kinaanzia kwenye bunge la 2007 wakati wa hoja ya Zitto kuhusus mkataba wa Buzwagi kusainiwa London...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nakubali, kijana ana uwezo mkubwa sana wa kifikra, lakini Napenda Kuuliza, huyu kijana ana uzalendo au ni mchochezi. Mnajua wawekezaji ndio chanzo cha maendeleo yetu, lakini anavyowapinga, mtu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
WanaJF Wasalaam, Baada ya kimya kirefu na kufuatilia mijadala ya bunge letu, maoni ya wanajf na wadau wengine wa siasa leo nimelazimika kuja na hii hoja ambayo kimsingi nahitaji kuona michango...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakati Tundu Lissu anaendelea kuelezea udhaifu wa TAKUKURU na madhambi ambayo serikali inafanya bila kung'ata ng'ata maneno na huyo mgeni mwingine kutoka TAKUKURU kujiona hana maneno, mara ghafla...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
  • Closed
Check the breaking news on KLH News.. as I'm updating.
0 Reactions
37 Replies
6K Views
Ktk MAKADIRIO YA MATUMIZI YA OFISI YA RAISI, mbunge viti maalumu CCM Mh.Munde Tambwe Abdala amesema wikiliksi walisema uongo kuwa TAKUKURU Inashindwa kuwakamata wala rushwa wakubwa sababu raisi...
0 Reactions
106 Replies
9K Views
jamani tuwe wakweli, kwa wanaofuatilia bunge wanakubali kuwa wabunge wa chadema ndio watetezi wakubwa wa watanzania. sio kwamba watz hawaoni kuwa tatizo lao ni namba tu. kuna mwanamagamba ninae...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari za jioni ndugu zangu ,naangalia kikao cha bajeti sasa hivi ,jamani serikali ya ccm imefika pabaya watuachie nchi yetu sasa inatosha sasa,kwa maamuzi wanayopitisha hatuna wabunge ndani ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
MBUNGE wa vunjo augustine mreme ameendalea kudai maslahi yake ambaye anadai kutokana na nafasi yake naibu waziri mkuu aliyowahi kishika miaka ya tisini. Mrema anasema hakufukuzwa hazi hivyo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Niko hapa kimara mwisho nimesikia eti songas imelipuka, mwenye taarifa atujuze
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana jamii naomba kuelewa the action taken by makinda on zitto's issue.Naona iko kimya au ni kama Lema alivothibitisha then ikawekwa kapuni!Wenye information please welcome.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni wakati wa kupitisha vifungu vya wizara ya hawa ghasia . ambopo Mbunge Lisu akuridhika na majibu mepesi ya waziri Chikawe aliyekuwa anamjibu lisu kwenye issue ya Rada na takukuru kwa niaba ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Inasikitisha sana bungeni pale mheshimiwa Tundu lisu anapotoa hoja zenye ukweli kuhusu mambo ya Rushwa lakini anapingwa kutokana na uwingi wa wabunge wa CCM. Binafsi sidhani kama hii voting...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimetafakari sana na kuona tunahitaji kikosi kazi kitakacho mshauri Rais jinsi ya kulivusha Taifa,katika kipindi hiki kinachohitaji busara kubwa sana.kwani Siku za nyuma Watanzania walipopita...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Written by makame silima // 05/07/2011 // Habari // No comments Mwenye raha amjali mwenye shida Mimi nimefuatilia sana ktk vikao vyetu vya ndani vya Baraza la wajumbe wa Uwakilishi na kumalizia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni sawa pesa ya rada ilichukuliwa serikalini tunakubali, lakini serikali haina duka wala shamba. Chanzo cha pesa za rada ni kodi za wananchi. Serikali ilipewa dhamana ya kuongoza matumizi sahihi...
0 Reactions
80 Replies
12K Views
Ni kijana Mdogo aliemaliza Chuo kIkuu cha Tunguu Unguja hIvi juzi na kuombwa kugombea Ubunge. Pombe alikuwa haijui. nini lkn sasa baada ya kuingia Jengoni na marupupu kidekide anakunywa hadi...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Back
Top Bottom