Kwa maumuzi haya ya wabunge wa ccm na mawaziri wake tanzania yetu inauzwa

Mwana Mnyonge

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
518
448
habari za jioni ndugu zangu ,naangalia kikao cha bajeti sasa hivi ,jamani serikali ya ccm imefika pabaya watuachie nchi yetu sasa inatosha sasa,kwa maamuzi wanayopitisha hatuna wabunge ndani ya ccm,naombeni wakirudi majimboni tuwaulize kule bungeni wanafanya maamuzi waliyotumwa na nani? na kwa faida ya nani?

inauma sana kuona mbunge anatetea ufisadi,anapingana na mawazo mazuri ya wapinzani kwa kuwa anawatetea watanzania,kama wananchi tusipowaambia huko majimboni tanzania yetu salama inapotea.

nimeumia sana leo nimelia sana natamani ningekuwa na uwezo wanipe hii nchi niongoze hata kwa siku tatu nifanye maamuzi magumu kwa ajili ya tanzania salama
naomba kuwasilisha nashindwa kuendelea
 
Ni kitu gani haswa unachokizungumzia,uamuzi upi waliopitisha? Wengine hatuna umeme!
 
kwanza serikali haina ushahidi juu ya watumishi wa umma walioisababishia serikali hasara kwa hiyo haiwezi kuwachukulia hatua zozote za kinidhamu
 
Back
Top Bottom