Mbunge wa Longido Vipi Akiongea Haeleweki hadi Asaidiwe! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge wa Longido Vipi Akiongea Haeleweki hadi Asaidiwe!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Duduwasha, Jul 5, 2011.

 1. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,137
  Likes Received: 2,170
  Trophy Points: 280
  Mbunge Huyu naomba angesasidiwa wakalimani ili aweze kujieleza kwa Lugha yake maana Uwezo wake unatia mashaka hadi Spika na Wenyeviti hupata shida kumuelewa kama anachangia au anauliza swali!
   
 2. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Anaitwa Michael Lekule Laizer teh! Masai wa Longido!
   
Loading...