Uthibitisho wa Zitto

kizazi kipya

JF-Expert Member
Jul 21, 2010
327
62
Wana jamii naomba kuelewa the action taken by makinda on zitto's issue.Naona iko kimya au ni kama Lema alivothibitisha then ikawekwa kapuni!Wenye information please welcome.
 
Mambo mengine Mh Zitto anatumiwa na haohao mawaziri wa JK kuyasema bungeni. Yetu macho na masikio. Hili Makinda atalizima tu kama lile la Mh Lema na WM Pinda.
 
Jaman, mi kuna utaratibu nashindwa kuuelewa, hivi maamuzi ya bunge ni kwa ajili ya Wananchi au kwa ajili ya wabunge? miongozo inapoombwa ni kwa ajili ya wabunge au sisi tunaoangalia bunge pia? au inabase kumsafisha yule anayeambuiwa ukweli, na pale vithibitisho vinapotolewa mbona huw havionyeshwi hadharani kama vilivyoombwa hadharani? nini wanaficha? hatua gani tutumie viwe vinaonyeshwa?
 
Yuko Kigoma na rafiki yake JK kampa lami ya km 60! Zitto ana ushawishi wa kutisha kama sifa ya Ubunge anaongoza kwa Wabunge wa Chadema! Wengine magwanda kama mgambo wa jiji na maandamano ndio wana weza! Big Up Zitto!
 
Yuko Kigoma na rafiki yake JK kampa lami ya km 60! Zitto ana ushawishi wa kutisha kama sifa ya Ubunge anaongoza kwa Wabunge wa Chadema! Wengine magwanda kama mgambo wa jiji na maandamano ndio wana weza! Big Up Zitto!
kanawe kwanza,acha kuropoka ropoka tu,ilimradi umetumwa na nepi.shame on you.
 
Muwe mnamwangalia makinda ukifika mda wa matangazo anaogopa kweli sijui
 
Kama alichokiongea ni kweli wanaona hakuna haja yakufuatilia coz watakuwa wajifedhehesha wameona bora wakaushe
 
Back
Top Bottom