Miezi 6 tu,pesa za ubunge zilivyomuharibu mbunge huyu kijana na kuwa kero jimboni kwake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miezi 6 tu,pesa za ubunge zilivyomuharibu mbunge huyu kijana na kuwa kero jimboni kwake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by thatha, Jul 1, 2011.

 1. t

  thatha JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Ni kijana Mdogo aliemaliza Chuo kIkuu cha Tunguu Unguja hIvi juzi na kuombwa kugombea Ubunge.

  Pombe alikuwa haijui. nini lkn sasa baada ya kuingia Jengoni na marupupu kidekide anakunywa hadi kuanguka barabarani.
  mbele ya wapiga kura.amekuwa kero badala ya Faraja kwa waliomuamini.
  maadili ya mwanzo yametoweka kabisa

  Ni mbunge mmoja wa Kaskazini Unguja. ni Jimbo ngome kuu ya CCM. ni Jimbo ambalo Cuf ni vigumu hata Kuingia
   
 2. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  ukweli unaoujua kinyume na hoja hii ni nini?
   
 3. BABA JUNJO

  BABA JUNJO JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 241
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa unamshitaki kwetu? kawambie wapiga kura wake wamhukumu. ( majungu tu)
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ningekupa thanks mkuu lakini ndo kakitufe ka thanks hakapo..
   
 5. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,079
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  siasa siku zote ni mchezo mchafu...
   
 6. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Poleni watu wa jimbo la Donge.
   
 7. Ibra Mo

  Ibra Mo JF-Expert Member

  #7
  Jul 1, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 795
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Wivu!!
   
 8. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #8
  Jul 1, 2011
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  he hadi waisilamu tena wa zanzibari siku hizi wanapiga laga?
   
 9. TITAN

  TITAN JF-Expert Member

  #9
  Jul 1, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 309
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa tukusaidiaje? Peleka malalamiko kwa wapiga kura wake
   
 10. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #10
  Jul 2, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  wanapiga lager kinoma mkuu, halafu wakitoka hapo wanatafuna karafuu kuzima harufu bora ya huyo mheshimiwa amajionesha live kuliko wanafiki wengine wanaojifanya washika dini kumbe ovyo tu
   
 11. m

  mja JF-Expert Member

  #11
  Jul 2, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 311
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ohoooooo.yamekuwa ya kuristo tena. mmm jamani udini mtauacha lineeeeeeeeeeee
   
 12. O

  Omr JF-Expert Member

  #12
  Jul 2, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  acha unafik wewe, anakula laga kwa raha zake.
   
 13. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #13
  Jul 2, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Unamatani na masauni wewe!
   
 14. T

  Twasila JF-Expert Member

  #14
  Jul 2, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,913
  Likes Received: 494
  Trophy Points: 180
  Kiti moto nani kapeleka znz, oman, turkey. Mohamed alianzaje kuiharamisha? Kwa nini unaendeleza udini? Aliyekufanya kuwa muislam bila kukufundisha uislam ana dhambi kubwa. Ili upone ugonjwa wako tafuta mwanazuoni wa dini ya kiislam.
   
 15. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #15
  Jul 2, 2011
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,854
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Wazenji wana mitandao ya kijamii humu Jf wapo wachache na mara nyingi huchangia thread za muungano,udini,na za kuiponda CDM na CCM kidogo.
   
 16. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #16
  Jul 2, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  post ya kwanza na umbea.
   
 17. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #17
  Jul 2, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Haya ndo madhara makubwa kwa wawakilishi wa CCM hapo akipewa uwaziri awe anatembelea v.8 si mtamkoma huko mchambawima
   
 18. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #18
  Jul 2, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Bora ya hao wanakunywa je hao wanao kunywa wanajificha pale kibanda maiti alafu wanakula na nguruwe
   
 19. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #19
  Jul 2, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,985
  Likes Received: 20,380
  Trophy Points: 280
  Ningeweza kukuelewa kama ungekuwa na ushahidi acha picha japo tarehe na mahali ingetosha, vinginevyo huu uliopost hapa ni upumbavu amabao JF haipendi kuuona, na kuhusu mtu kubadilika kitabia, ulitegemea tabia ya mtu, hii hubadilika ktokana na vitu vingi, mazingira na hali vikichangia zaidi.
   
 20. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #20
  Jul 2, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Masifa, usitake sifa acha MAJUNGU. Mbona Mh Jumbe alikuwa anakunywa hasa na kuendesha gari hadi kujitengenezea ajali wakati akiwa Makamu wa Rais wa Karume Snr . Lakini Jumbe akaja kuwa Rais makini wa Zanzibar na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Muungano hadi CCM kumuona tishio na kumuweka "kizuizini" hadi leo hatumsikii mwanamapinduzi huyo.
   
Loading...