mrema aendelea kulilia maslahi yake bungeni. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mrema aendelea kulilia maslahi yake bungeni.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by samirnasri, Jul 5, 2011.

 1. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  MBUNGE wa vunjo augustine mreme ameendalea kudai maslahi yake ambaye anadai kutokana na nafasi yake naibu waziri mkuu aliyowahi kishika miaka ya tisini. Mrema anasema hakufukuzwa hazi hivyo anastahili malipo hayo kutokana na utumishi wake. Waziri wa utumishi hawa Ghasia amemwambia awaachie watalifanyia kazi.

  source: Live kutoka bungeni dodoma.
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  maskini nimemuona mzee wa kiraracha akilia NJAA, aibuuu tupu
   
 3. mfereji maringo

  mfereji maringo JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 1,003
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  wafanye wamlipe akajitibu ukurutu wake kiazi yule
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Unajua alisimama ata wakati speaker hajaanza kuruhusu!mzee kachoka!
   
 5. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #5
  Jul 5, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Ndiyo maana amekuwa mtetezi wa serikali hii kwa kuwa anabembeleza mafao!
   
 6. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #6
  Jul 5, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Atafia bungeni huyo anajifanya kazoea bunge? alipwe ASEPE
   
 7. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #7
  Jul 5, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 3,149
  Likes Received: 1,407
  Trophy Points: 280
  atalipwa kwa sheria ipi wakati cheo chake hakipo kikatiba?
   
 8. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #8
  Jul 5, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,688
  Likes Received: 650
  Trophy Points: 280
  Kwani huyo waziri ghasia cheo chake kipo kikatiba?
   
 9. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #9
  Jul 5, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Yule ni ccm atalipwa!
   
Loading...