Lisu atoa shilingi mshahara wa Hawa ghasia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lisu atoa shilingi mshahara wa Hawa ghasia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by muonamambo, Jul 5, 2011.

 1. muonamambo

  muonamambo JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Ni wakati wa kupitisha vifungu vya wizara ya hawa ghasia . ambopo Mbunge Lisu akuridhika na majibu mepesi ya waziri Chikawe aliyekuwa anamjibu lisu kwenye issue ya Rada na takukuru kwa niaba ya waziri Hawa ghasia. waziri chikawe amomba watu wapuuze ripoti za mitandao kama wikileaks.

  Akasoma barua iliyotoka kwa wachunguzi wa uingereza inayoonyesha pesa iliyoingizwa kwenye acount toka kwa middle man wa dili la rada. na pia chenge aliamisha kiasi chaq fedha sikuweza kuzisikia kwa ikaribu kwenda kwa mtumishi wa BOT kwa kipindi kile kile.

  Majibu ya Chikawe ni kwamba Lisu awakilishe ushaidi wake kama anao na wao watauchukuliwa maamuzi ya kumpeleka Chenge mahakani { kwa kebehi}
  Lisu amwambia barua hiyo iliperekwa kwa Attorney general wa serikali na aliyonoyo yeye ni copy tu. kwa hiyo anachosema waziri ni kudanganya watz. akashikilia shillingi.

  Kura za mama kiroboto kama kawaida zikapitisha kifungu
   
 2. F

  FJM JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Hapa serikali haiwezi kujidai kuwa inashughulikia corruption. Hilo wasau na naweza kusema wamezidisha mtaji wa CHADEMA huku mtaani.
   
 3. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Wakimaliza bunge wazibebe hoja zote zilizopotezwa na wabunge wa ccm huko mjengoni wazilete kwa wananchi

  Watashika adabu tu kama list of shame ilivyoanzia pale mwembe yanga, wasiwe na shaka yoyote wananchi wanawaona wabunge wao wa ccm wananvyosinzia na kuishia kupiga meza tu.
   
Loading...