Je Songas imelipuka? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je Songas imelipuka?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Maishamapya, Jul 5, 2011.

 1. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Niko hapa kimara mwisho nimesikia eti songas imelipuka, mwenye taarifa atujuze
   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  La haulaaa mgao mpaka 2015 kama kweli jaani mtujuze
   
 3. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,056
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Wewe!!! Mdomo uliponza makalio Segerea...ohooo!!
   
 4. BiMkubwa

  BiMkubwa JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2011
  Joined: Jan 9, 2007
  Messages: 530
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Jamani msinitie presha hapa! Mbona nasikia umeme kwingine upo? Kwani songas imelipuka upande unaotoa umeme huku niliko mimi tu au?
   
Loading...