KASHFA: Mbunge atetea TAKURURU baada ya kufutwa kesi yake ya ufisadi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KASHFA: Mbunge atetea TAKURURU baada ya kufutwa kesi yake ya ufisadi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ciril, Jul 5, 2011.

 1. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Ktk MAKADIRIO YA MATUMIZI YA OFISI YA RAISI, mbunge viti maalumu CCM Mh.Munde Tambwe Abdala amesema wikiliksi walisema uongo kuwa TAKUKURU Inashindwa kuwakamata wala rushwa wakubwa sababu raisi anahusika.

  Kawalaani pia wanaomtukana raisi majukwaani, kasema TAKUKURU imeshawapeleka wala rushwa wakubwa mahakamani na kesi zilizokwisha kupelekwa zipo 24.Kasema tuwapuuzie wamarekani watatuletea machafuko kwa taarifa zao za uongo(wikiliksi).
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  huyo mama akili zake ni sawa na huu mzigo aliotu... huyu jamaa
  [​IMG]
   
 3. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  hana jipya huyo.hajielewi
   
 4. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Hivi hawa Wabunge wa viti maalum ccm wanakuwa wameshaahiwa uwaziri au!!!,mbona wanamtetea raisi na Serikali yake wakati kila kitu kipo wazi?
   
 5. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #5
  Jul 5, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180

  Marytina!!!!!!!!!!!
   
 6. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #6
  Jul 5, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  LEO asubuhi hii, Mbunge wa Viti Maalumu mkoani Tabora Munde Abdallah Tambwe (CCM) pamoja na kutaka serikali itoe tamko la kuisafisha tuhuma za rada, amemwagia sisa na kumtetea Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Dk. Edward Hosea.

  Kwanza niseme wazi sina tatizo na utetezi dhidi ya Hosea maana hata mimi binafsi namtetea na napenda aendelee kuongoza Takukuru kwa sababu nyingi ambazo hapa si mahala pake, lakini hoja yangu ni huyu Tambwe kujadili Takukuru baada ya kesi yake kuvurugwa mkoani Tabora.

  Kwanza kabisa msaidizi mkuu wa Hosea anayeitwa Kigoni ametokea Tabora na ndiye aliyeanza kumchunguza Tambwe akiwa Kamanda wa Takukuru Tabora, lakini utetezi wa Tambwe kwa Takukuru unatia shaka maana kesi yake ya wizi wa fedha za mishahara Manispaa ya Tabora imekwisha katika mazingira tata baada ya Takukuru kufanya makosa katika uendeshaji mashitaka na kuifanya mahakama kufanya maamuzi.

  Kwa Tambwe kujadili Takukuru, ni katika kujipendekeza kesi dhidi yake isiendelezwe lakini nadhani kama kweli Takukuru wanafanya kazi vyema atakuwa amejichongea badala ya kujisaidia maana amewakumbusha kama walikuwa wamemsahau.

  Kwa kufupi hata CCM kumpitisha TAmbwe Tabora wakati wakijua alikua na kesi walichemsha na wamekosea sana kumbeba mla rushwa tena ya mishahara.

  Tumfahamu Tambwe mwenyewe.

  [TABLE="width: 100%"]
  [TR]
  [TD="bgcolor: #B1C3D9, colspan: 3"]GENERAL[/TD]
  [/TR]
  [TR="bgcolor: #CCFFFF"]
  [TD="bgcolor: #E9F0F0"]Salutation[/TD]
  [TD="bgcolor: #E9F0F0"]Honourable[/TD]
  [TD="width: 42%, bgcolor: #E9F0F0, align: center"]Member picture
  [​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR="bgcolor: #CCFFFF"]
  [TD="bgcolor: #E9F0F0"]First Name: [/TD]
  [TD="bgcolor: #E9F0F0"]Munde[/TD]
  [/TR]
  [TR="bgcolor: #CCFFFF"]
  [TD="bgcolor: #E9F0F0"]Middle Name: [/TD]
  [TD="bgcolor: #E9F0F0"]Tambwe[/TD]
  [/TR]
  [TR="bgcolor: #CCFFFF"]
  [TD="bgcolor: #E9F0F0"]Last Name:[/TD]
  [TD="bgcolor: #E9F0F0"]Abdallah[/TD]
  [/TR]
  [TR="bgcolor: #CCFFFF"]
  [TD="width: 20%, bgcolor: #E9F0F0"]Member Type:[/TD]
  [TD="width: 38%, bgcolor: #E9F0F0"]Special Seat[/TD]
  [/TR]
  [TR="bgcolor: #CCFFFF"]
  [TD="bgcolor: #E9F0F0"]Constituent: [/TD]
  [TD="bgcolor: #E9F0F0"]No Constituency[/TD]
  [/TR]
  [TR="bgcolor: #CCFFFF"]
  [TD="bgcolor: #E9F0F0"]Political Party: [/TD]
  [TD="bgcolor: #E9F0F0"]CCM[/TD]
  [/TR]
  [TR="bgcolor: #CCFFFF"]
  [TD="bgcolor: #E9F0F0"]Office Location: [/TD]
  [TD="bgcolor: #E9F0F0"]P.O. Box 836, Tabora.[/TD]
  [/TR]
  [TR="bgcolor: #CCFFFF"]
  [TD="bgcolor: #E9F0F0"]Office Phone: [/TD]
  [TD="bgcolor: #E9F0F0"]+255 787 228 620[/TD]
  [/TR]
  [TR="bgcolor: #CCFFFF"]
  [TD="bgcolor: #E9F0F0"]Ext.: [/TD]
  [TD="bgcolor: #E9F0F0"][/TD]
  [/TR]
  [TR="bgcolor: #CCFFFF"]
  [TD="bgcolor: #E9F0F0"]Office Fax: [/TD]
  [TD="bgcolor: #E9F0F0"][/TD]
  [/TR]
  [TR="bgcolor: #CCFFFF"]
  [TD="bgcolor: #E9F0F0"]Office E-mail: [/TD]
  [TD="bgcolor: #E9F0F0"][/TD]
  [/TR]
  [TR="bgcolor: #CCFFFF"]
  [TD="bgcolor: #E9F0F0"]Member Status: [/TD]
  [TD="bgcolor: #E9F0F0"][/TD]
  [/TR]
  [TR="bgcolor: #CCFFFF"]
  [TD="bgcolor: #E9F0F0"]Date of Birth [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 7. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #7
  Jul 5, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Nae Mbunge wa Kisarawe kupitia ccm Suleiman Said Jafo amezipongeza safari za raisi Jakaya Kikwete kuwa zina tija kwa Watanzania na amewabeza wabunge wanaochukizwa na safari za raisi na hapa aliilenga Chadema sbb ya maoni aliyoyatoa Mbunge Wa Ubungo John Mnyika juu ya safari za raisi zilizokithiri.John Mnyika alisema safari moja ya raisi kwenda nje ni kuanzia milioni 50 mpaka milioni 200 hutumika.
   
 8. Kayoka

  Kayoka JF-Expert Member

  #8
  Jul 5, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,427
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hana lolote huyu mama karunde Munde. Eti anadi watz tuachane na mambo ya taarifa za mitando kama vle Wikleaks jù ya shutuma za rushwa na ubadhirifu. Crap crap crap munde tambwe hiza.
   
 9. MANI

  MANI Platinum Member

  #9
  Jul 5, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,410
  Likes Received: 1,863
  Trophy Points: 280
  Mwenyewe aanona analipa fadhila
   
 10. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #10
  Jul 5, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  huyu na tambwe hiza niaje?
   
 11. M

  Marytina JF-Expert Member

  #11
  Jul 5, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Member picture
  [​IMG][​IMG]
   
 12. jcb

  jcb JF-Expert Member

  #12
  Jul 5, 2011
  Joined: Jul 6, 2010
  Messages: 281
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mkuu yani amenivurugia siku yangu yote huyu mtu maana ameanza na Rada nikahisi hapa kuna Point kumbe upupu mtu!!!!
   
 13. T

  Tata JF-Expert Member

  #13
  Jul 5, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,734
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Sioni jipya hapa. Kwani mbunge wa viti maalumu anamwakilisha nani bungeni? Ukipata jibu la swali hilo utajua kwa nini hawa wanaoitwa wabunge wa kuteuliwa huwa hawana jipya bungeni.
   
 14. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #14
  Jul 5, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Tambwe!!
   
 15. Crucial Man

  Crucial Man JF-Expert Member

  #15
  Jul 5, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 3,277
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  wikleaks enyewe inamsumbua kuitaja.huyu dada hata educational back ground yake ni finyu sana.wamekula sana pesa pale halmashauri tabora.ni fisadi mkubwa huyu binti.
   
 16. k

  kajembe JF-Expert Member

  #16
  Jul 5, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 756
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Wana jamvi,

  Mbumbe wa kuteuliwa CCM Munda Tambwe Abdallah ameshauri Watanzania kuachana na mitandao maana inatuchonganisha na kutaka Nchi isitawalike kwa kusema mambo ya uongo ametolea mfano wa wikileak walivyotoa mazungumzo ya siri kati ya Mkurugenzi wa PCCB kuhusu Tanzania na rushwa ya watu wakubwa,kilichonishangaza kusema US wamekaa kimya baada ya PCCB kukanusha habari hizo na hivyo basi ni habari za uongo kwakuwa america ni Taifa kubwa na lenye vyombo makini vya upelelezi hayo ni mawazo mepesi,ukosefu wa uzalendo,unafiki mkubwa sana na hili watanzania wanajua na dunia inajua!

  Amesifu PCCB kufungua kesi kubwa nyingi ni zipi hizo za EPA?KAGODA?TICS?TTCL?NBC?IPTL?RICHMOND?DEEP GREEN?DOWANS? wakati tuliona watu walisamehewa wakaambiwa warudishe basi! na hakuna mwenye ushahidi kama walirudisha! na wengine ole wako hata ulalamike haki yako utakamatwa na kuwekwa ndani kama Mbunge yule mama wa cuf na wengine! yote haya Watanzania wanaona na Dunia inajua! kwa hilo nalo katoa mawazo hafifu kabisa mpaka sasa najiuliza hivi ni vigezi gani vinatumika kuchagua wabunge? yaani Mbunge anachangia ukimsikiliza unaona amefisika kabisa kichwani mpaka unabaki unajiuliza ni unafiki au ujinga?


  Anaposema tuachane na mitandao nashangaa sana ktk ulimwengu huu ambao sasa ni kama kijiji,technologia ya habari imeleta mapinduzi makubwa sana duniani na Mbunge anapo shauri watu waachane na technologia ya habari anashangaza sana ktk jamii hii ya kimambo leo,mimi leo hii nimemuona huyu mbunge amepitwa na wakati,ni mtu anaeamini mambo ya kale yasiyo na tija!amelala usingizi wa pono wala hajui kinachoendelea ulimwenguni,jamani tusikubali kupotoshwa na watu wa aina hii,wanakula pesa zetu bule,ni wanafiki au wajinga sana hawafai kuingia bungeni ni watu waliofilisika vichwani na hili watanzania wanajua na dunia inajua!

  Amezungumzia kuhusu kuvuja kwa siri za serikali,sasa wataanza kuwaonea watu bure,Technologia imekua sana jamani siku hizi kuficha siri sio rahisi na ndio maana baraza la mawaziri lina kaa watu wanakuja nakala ya mambo yaliyo ongelewa na hii nzuri kweli maana tutajua sasa wasiotuonea wananchi huruma na mambo yanayofanyika yasiyo na tija kwa taifa.jamani serikali ibadilike ikumbatie technologia mtajitahidi kuficha lakini kwa hali ya sasa ni vigumu sana hata Pentagon watu wanapata information tu. Ushauri wa kujaribu kifcha siri ni kuachana kabisa na technologia ya digitali.serikli ipige maruku vitu vyote vinavyotumia technologia ya mawasiliano.pili serikali itete maslahi ya wananchi hapo kutakuwa hakuna haja ya kuficha tena maana mnaficha nini au mambo kama ya jando?
   
 17. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #17
  Jul 5, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  She was jumping all over the place. Mara hili mara lile, inaonekana haielewi wikileaks vizuri. Naona mzee wa kaya angewapeleka kwenye semina waeleweshwe.
   
 18. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #18
  Jul 5, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kazi tunayo!!!!!!!
   
 19. d

  dotto JF-Expert Member

  #19
  Jul 5, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hivi Tambwe maanake nini!!??
   
 20. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #20
  Jul 5, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Ndo alivyotumwa na wapiga kura wake?
   
Loading...