CPJ Condemns the arrest of JF members! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CPJ Condemns the arrest of JF members!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Mar 1, 2008.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Mar 1, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Check the breaking news on KLH News.. as I'm updating.
   
 2. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #2
  Mar 1, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
 3. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2008
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Hongereni JF... Hapa sasa ndio muanze kujijua kwamba JF si kijiwe cha upuuzi ni "Chombo cha Habari" tena chenye nguvu na kinachotambulika Kimataifa. TUKAZE UZI, hakuna kuyumba
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  Mar 1, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  sidhani kama watu wanaappreciate what this means.. ina maana kesho kina Othman wakianza kutusumbua... dunia nzima itajua na unafiki wa watawala unaweza kuonekana...
   
 5. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #5
  Mar 1, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Mwanakijiji,I doubt kama ni wote walio-click hiyo link. Nashukuru kwa kutupa update hii. People do appreciate this and that's why you can see em thanking you man
   
 6. m

  macinkus JF-Expert Member

  #6
  Mar 1, 2008
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 260
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Hii hapa chini

  Tanzania detains popular Web site editors
  New York, February 29, 2008—CPJ condemns the arbitrary arrest of two popular online editors without charge. The two were detained and interrogated for 24 hours in Dar es Salaam, Tanzania, on February 18, in what observers of the case say was a politically motivated attempt to shutter the site.

  The two young editors, Maxence Mello and Mike Mushi, aged 21 and 18 respectively, host the extremely popular Jambo Forums, a public discussion site with more than 2,000 members and 6 million hits in February alone. Topics on the site cover everything from politics to culture to entertainment. Police confiscated three computers used to host their Web site, shutting down the site for five days while the equipment remained under police custody, Mello told CPJ.

  According to Mello’s defense lawyer, Tundu Lissu, the police had no official charges against the editors and said the orders to arrest them had come from the president’s office. The Inspector General of Police, Said Mwema, stated in a press conference on February 20 in Dar es Salaam that they were arrested because they were suspected of criminal activity—which may include the “dissemination of wrong information” through the Jambo Forums Web site.

  “The Tanzanian government must refrain from arresting journalists in an attempt to silence public dialogue,” said CPJ’s Executive Director Joel Simon. “Such arbitrary arrests set a dangerous precedent for the free dissemination of information online.”

  Maxence Mello told CPJ that police arrested him at his college, the Dar es Salaam Institute of Technology, at 4 p.m. and then took him to his house where they lured then arrested his colleague, Mike Mushi. They were interrogated throughout the night over several postings on the site that criticized the government, and released at 5 p.m. the following day.

  Local journalists said the forum had played a major role in exposing a suspect energy contract the former Prime Minister Edward Lowassa made with an American energy firm. The contract was published in full on the Jambo Forums site, Mello said. The former minister resigned on February 7 after a parliamentary probe into the incident. Four other suspected fraudulent contracts between the government and foreign companies are also currently posted on the Web site, Mello told CPJ.

  Lissu said the two moderators were questioned specifically on this matter, and he as well as local journalists say they suspect the detention was directly tied to the posting of the contested energy contract. This kind of interrogation of journalists is part of a pattern of ongoing harassment of the local media, Lissu added.
   
 7. Z

  Zanaki JF-Expert Member

  #7
  Mar 1, 2008
  Joined: Sep 1, 2006
  Messages: 544
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  6 million hits in february alone! Thats like the whole of dar labda morogoro na Tanga! All members in here deserve a pat on the back,maana thats the reason why it is so popular!

  Pedal to the metal members!
   
 8. t

  tibwilitibwili Senior Member

  #8
  Mar 1, 2008
  Joined: Sep 12, 2006
  Messages: 181
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Nina hakika kwamba hata George Bush amesha upata huu ujumbe kwamba alikuwa amekaa na wanafiki pale Dar .Najua hii itamuumiza sana JK na wanaweza wasiijali kwa muda huu ila badaye watajua nini maana yake .Kwa taarifa tu ni kwamba you are under watch JK na kundi lako.Tunakaza buti JF na mwendo ni wa kudunda .
   
 9. M

  Mtata Member

  #9
  Mar 1, 2008
  Joined: Jan 3, 2008
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Big up Maxence and Mike, this is a revolution,and doesn't come easily! Nafurahi kuona vijana wa rika hilo la kwenu wanasaidia jamii kuhabarika na habari nyeti kama hizi, si wengi wa umri wenu huo wanaguswa na mambo nyeti kama vile ya jinsi ambavyo serikali yetu inaendeshwa na pale inapovurunda, tunaikosoa. Pia wana JF nawapa pongezi for all the contributions you have put up towards JF and those who worked hard to free the boys from the hands of the criminals. Maxence,once again big up to you, i've studied (Engineering) at the D.I.T, i know how tough the lessons are, to know that you can work with JF and lessons as well, you must be good. Keep it up brother.
   
 10. M

  Morani75 JF-Expert Member

  #10
  Mar 1, 2008
  Joined: Mar 1, 2007
  Messages: 619
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  MKJJ, mimi kwa kweli nilikuwa sifahamu kirefu cha CPJ mpaka nilipo google na kuona extent ya cases taken up by the Organization, JF to get such a recognition alone says it all, we are something!!!!

  Lakini sifa hizo zisitufanye tukalegeza uzi, vijimambo vidogo vidogo vinavyojionyesha kila siku (especially baada ya matatzio ya hivi karibuni) tusivilegezee wala kuumiza vichwa vyetu kwavyo, tuendeleeni kufanya kile nafsi zetu na uwezo wetu (kimawazo na ikiwezekana vitendo) kupiga mayowe katka kumkoma Giliadi mchana kweupeee!!

  Mike na Mac, I salute you guys from the bottom of my heart.... katika umri wenu wengi wetu (mimi na kwa uhakika vijana wengi wa hapa nyumbani Tanzania) tulikuwa na agenda tofauti sana zikiwemo madisko, fasheni, mademu, elimu nk nk nk.... Wakuu nyinyi kujitoloea muda, vipaji bila kujali chochote kufanya mnachokifanya kwa kweli mnahitaji kupewa PONGEZI KUBWA SANA!!! Sikujua exact age yenu lakini sasa nakiri kwamba "AGE AIN'T NOTHING BUT A NUMBER"; you guys deserves to sit and have conversation with any person hata wanaojiita watu wazima (tukiangalia kwenye desturi zetu za kiAfrika)!!!! YOU ROCK GUYS!!

  Kwa wanaJambo wenzangu, jamani kazi ndio hiyo wajemeni "wembe ni ule ule na ukiwezekana unolewe zaidi"
   
 11. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #11
  Mar 1, 2008
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Tanzanian goverment need we say more?

  Inatuchanganya kabisa kuona kwanini serekali haituelewi, kwanza Tunapkuja hapa kupost na kuelezeana what is happening in our counrty sio kuwa tuna muda wa kuchezea na kupoteza, sio kuwa we dont have any activities to do...Tunakuja hapa kwa kazi moja tu...."Tanzania ni nchi yetu...." na tunahaki ya kuichambua na kuwachambua wote tulio waweka madarakani bila kujali ni nani. Hilo tutalifanya kwa makini kabisa na wala asitokee mtu akadhani atabakizwa ... we will not live a stone Unturned..so tunaomba wote tushirikiane na tutekeleze wajibu wa kulitumikaia Taifa bila kubabaishana. Hakuna kiongozi atalindwa na kiogozi mwingine na akabaki salama kama yeye hana utu na anakiuka maadili ya utu. Kama kiogozi ana utu na msimia haki na moyoni ni Mtanzania na mzalendo kweli ..he should not worry or doubt JF...He is the material we need.. a really Tanzanian. Kinyume cha hapo, hatutaelewana kabisa.. JF Hatutalala mpaka ametoka madarakani, tutakusanya nguvu ya umma na hatabakai salama. Ninataka hilo liwe wazi kabisa. Hivyo mtu asiogope JF if and only if he is clearn and noble Tanzanian....Mpaka hapo Naomba kumunga mkono kwa dhati Bwana J Simon wa Committee to Protect Journalists CPJ.


  And May God be with Him!
   
 12. Augustoons

  Augustoons JF-Expert Member

  #12
  Mar 1, 2008
  Joined: Oct 31, 2007
  Messages: 410
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Nimegundua Polisi wa nchi nyingine wana akili sana,akili hizo si tu za darasani ndizo zinazoitwa intelligentsia.Wakati napitia pitia makabrasha yangu kuhusu cyber crime katika kufanya maandalizi ya utetezi juu ya jf members niligundua kuna bwana mdogo mmoja aliwahi kuharibu computer system ya pentagon na FBI na alikuwa kijana mdogo sana toka Romania,serikali ya marekani iliomba extradition ili ikamshtaki huko USA lakini cha ajabu alipofikishwa USA badala ya kumshitaki walimwajiri kwenye mojawapo ya makampuni makubwa kabisa yanayohusika na system za ulinzi.Cheers brothers hawa wenzetu wawili wa DIT ni hazina kubwa sana.Manaake FBI hawakumkuta huyo kijana na nia yoyote mbovu ya kuharibu mifumo yao bali actus reus tu,alikuwa akiwaonesha tu kuwa wao si lolote si chochote.
  Hivyo saa nyingine watu wanapofichua sana siri,sio kwamba wana nia mbaya na wewe wanajaribu kukuonesha how unsafe you are. Sasa ukiwakamata uwatese,uwaue au uwaweke jela,sijui ndo unakuwa umepata faida gani.Asanteni sana CPJ kwa kutupa international recognition.
   
 13. Dua

  Dua JF-Expert Member

  #13
  Mar 1, 2008
  Joined: Nov 14, 2006
  Messages: 2,481
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  JK na kundi lake walikuwa wanajaribu kutikisa kiberiti wamekuta kimejaa sasa wanaweweseka.

  Unaweza kuwatembelea hapa.
   
 14. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #14
  Mar 1, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Jamani, tufurahie lakini we should always be resielent and always watchful; tusijekudhania hata kwa sekunde moja kuwa serikali na vyombo vyake wamekubali kushindwa. Serikali huwa hazishindwi bali huarisha kisasi tu.

  Ni kwa sababu hiyo ingawa tunadhani tumewafunga goli halali na refa kaonesha mpira "kati" tusijekujisahau na kudhani na wenyewe wanafurahia goli la namna hiyo. Sitashangaa wakaanza kuleta na wachezaji wa kukodisha na kusababisha 'Penalti' ya lazima...


  Siamini kama wamakubali yaishe au wanapanga jinsi gani they'll get back. Na njia kubwa ni kuanza kuplant some information hapa ambazo zitaonekana tunavunja sheria ya Usalama wa Taifa ya 1970 which is very vague!! na ile ya Idara ya Kijasusi ya 1996.
   
 15. Mtade_Halisi

  Mtade_Halisi Member

  #15
  Mar 1, 2008
  Joined: Feb 23, 2008
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  New York, February 29, 2008—CPJ condemns the arbitrary arrest of two popular online editors without charge. The two were detained and interrogated for 24 hours in Dar es Salaam, Tanzania, on February 18, in what observers of the case say was a politically motivated attempt to shutter the site.

  The two young editors, Maxence Mello and Mike Mushi, aged 21 and 18 respectively, host the extremely popular Jambo Forums, a public discussion site with more than 2,000 members and 6 million hits in February alone. Topics on the site cover everything from politics to culture to entertainment. Police confiscated three computers used to host their Web site, shutting down the site for five days while the equipment remained under police custody, Mello told CPJ.

  According to Mello’s defense lawyer, Tundu Lissu, the police had no official charges against the editors and said the orders to arrest them had come from the president’s office. The Inspector General of Police, Said Mwema, stated in a press conference on February 20 in Dar es Salaam that they were arrested because they were suspected of criminal activity—which may include the “dissemination of wrong information” through the Jambo Forums Web site.

  “The Tanzanian government must refrain from arresting journalists in an attempt to silence public dialogue,” said CPJ’s Executive Director Joel Simon. “Such arbitrary arrests set a dangerous precedent for the free dissemination of information online.”

  Maxence Mello told CPJ that police arrested him at his college, the Dar es Salaam Institute of Technology, at 4 p.m. and then took him to his house where they lured then arrested his colleague, Mike Mushi. They were interrogated throughout the night over several postings on the site that criticized the government, and released at 5 p.m. the following day.

  Local journalists said the forum had played a major role in exposing a suspect energy contract the former Prime Minister Edward Lowassa made with an American energy firm. The contract was published in full on the Jambo Forums site, Mello said. The former minister resigned on February 7 after a parliamentary probe into the incident. Four other suspected fraudulent contracts between the government and foreign companies are also currently posted on the Web site, Mello told CPJ.

  Lissu said the two moderators were questioned specifically on this matter, and he as well as local journalists say they suspect the detention was directly tied to the posting of the contested energy contract. This kind of interrogation of journalists is part of a pattern of ongoing harassment of the local media, Lissu added.

  http://www.cpj.org/news/2008/africa/tanzania29feb08na.html
   
 16. Mlalahoi

  Mlalahoi JF-Expert Member

  #16
  Mar 2, 2008
  Joined: Aug 31, 2006
  Messages: 2,065
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Nakubaliana nawe kwa asilimia kubwa lakini pia natahadharisha kwamba katika kuwa resillient tusije kuishia kuogopa vivuli vyetu wenyewe.Uzuri wa forums kama JF ni kwamba kila mtu ana reputation yake na wengi tunafahamu hivyo,aidha ni mpinzani wa kila kitu,mchangia hoja kwa busara na akili,mtundika posts kwa lengo la kuongeza idadi,mchekeshaji pale tunapobidi kucheka,nk.I dont see how these guys can plant some info here without using someone we know and trust.And that someone would therefore have been waiting here for all that long to gain our trust and credibility before striking (ie being used to plant something).If it's a new or recently-registered member,then ni jukumu letu pamoja kuhakikisha kwamba while JF is open to kila mtu kujiunga,uhuru huo usitumiwe kuja kufanya hujuma.

  Just thinking:Siku Binti Senti 50 akija na breaking news about ufisadi,then it'd go without saying that HUO NI MTEGO.....or when yule jamaa alojiunga majuzi na kuanza kukuvaa moja kwa moja (Dar es salaam or something,cant remember the name) akija na "NYETI" then hiyo ndio PLANTED MATERIAL.However,tuko mbele hatua 100 zaidi ya wanaotaka kuizima JF,because the world knows about dirty tricks zilizofanyika na pengine zinazoendelea kufanyika.Silaha yetu nyingine ni kuwa TUNAJUA WANACHIFIKIRI,and as they say,forewarned forearmed.
   
 17. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #17
  Mar 2, 2008
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0
  Quote: Mwanakijiji

  Quote: Mlalahoi

  Wakulu maneno mazito hayo, mwenye masikio haambiwi sikia!
   
 18. K

  Kalamu JF-Expert Member

  #18
  Mar 2, 2008
  Joined: Nov 26, 2006
  Messages: 874
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  A planted mole or whatever; habari ikiletwa hapa JF itachambuliwa tu kwa merit yake. Kama ni mawe, basi mawe yatarushwa. Enzi za kutishana sio hizi tena.

  Maxence na Mushi - sikutegemea kabisa vijana wa rika lenu kufikia haya mliyoyafikia. Hao mapolisi waliowaweka kizuizini kwa masaa 24 nadhani hata wao hawakuamini kuwa mngeweza kufanya mambo makubwa haya.

  Msukosuko uliowapata ni beji tosha ya heshima ya taifa la Tanzania. Ivaeni kwa heshima na utukufu wa kudumu maishani mwenu.
   
 19. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #19
  Mar 2, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  If you think about it nina uhakika kuna mtu anajuta even to entertain the idea of arresting the boys kwa sababu kuna mtu ambaye alifikiria na kupanga kukamatwa kwao. I really would like to know who.. maana kama ana kibendera pembeni ya gari lake basi tuna matatizo.
   
 20. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #20
  Mar 2, 2008
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0
  Operation moja iliiingilia nyingine, bila co-ordination, we know that, moja ime-drop, the other inaendelea, JF akili mu-kichwa one step ahead, kumkoma nyani mbele, hakuna aliyelala, muziki ulianzishwa na nani? tunajua ni Rapper maarufu kule Us Master P.

  Kalagha baho mwanangu, wayago wacholaaaa!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...