Mambo ambayo tukiyafanya njaa itakuwa historia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mambo ambayo tukiyafanya njaa itakuwa historia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by FredKavishe, Jul 7, 2011.

 1. F

  FredKavishe Verified User

  #1
  Jul 7, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  kama mtanzania mwenye uchungu na nchi yangu naomba nitoe ushauri najua kuna viongozi wakubwa hapa mnaweza kuchukua au kuacha
  1.TUFUTE DHANA YA KILIMO KWANZA
  hii dhana ya kilimo kwanza ni miradi ya watu tuifute haitatusaidia kabisa ni wizi mtupu hapa haiwezekani dhana za kilimo zinakaa mwenge pale halafu tunasema kilimo kwanza.
  2.SERIKALI IWEKEZE KWA WATZ WAPEWE MASHAMBA NITAICHAMBUA VIZURI CHINI
  kama kweli tunataka kutokomeza njaa serikali iwape ardi watz wa hapa nyumbani hata wakitoka njee haina tatizo nashauri kwa kuanzia kila mtz wale walio tayari kuwekeza kwenye kilimo wapewe hekta 50000.tukipata watu kama 50 tu wakuanzia huu mradi itakuwa safi sana sema hata wakiwa 100 itakuwa na tija zaidi.kila mtz atakaye pewa hayo mashamba apewe mkopo benki kama bilioni 15 na kuongezeka kutokana na mahitaji yake.hapo tutakuwa tumetengeza ajira kwa haraka haraka zaidi ya milioni 3.sasa hao wawekezaji watalima mazao yenye tija kwa taifa nina uhakika kama hawatategemea mvua wakatumia kilimo cha kisasa umasikina utakuwa histori kwenye taifa letu.kuna mabonde mengi tu yanapitisha maji watumie kilimo cha umwagiliaji mfano wa mabonde naomba mjazie hapa
  1.bonde pangani
  2.bonde malagarasi mabonde mengine mtaongezea
  tatizo hapo serikali italalamika maji mengi yantumika kwenye kilimo cha umwagiliaji tatizo la umeme litazidi nashauri tuhame uko kwenye kutegemea maji kama source ya umeme kuna uranium inataka kuanzwa kuchimbwa lets invest there.
  3.SERIKALI IWEKEZE KWENYE KUUZA PEMBEJEO,MBOLEA,DAWA
  sas serikali iwekeze kwenye kuuza pembejeo za kilimo sababu lazima hawa wawekezaji ambao ni watz wanzetu watanunua pembejeo hapahapa.umwagiliaji wa dawa kwenye kilimo uwe unatumia ndege naomba tukopi hii kutoka kwa wenzetu kilimo chetu tumwagilie kwa kutumia ndege ambapo eneo kubwa linamaliza kwa dakika chache tunaweza kumpa tenda hii ndugu yetu pecision air.
  4.KITAKACHOBAKI KIUZWE NJEE
  5.ELA ZITALIPWAJE
  sasa kwa kuwa tumewakopesha watz wenzetu ni rahisi sana kupata ela yetu wakati wa mauzo ya mazao ela itakuyo kuwa wanatapa inakatwa moja kwa moja kutoka kwenye benki zetu
  HAYO NDO MAONO YANGU JAPO NINA MENGI YA KUSEMA NITAZIDI KUYAWEKA HAPA TUSHARE WOTEMUNGU AKITIPA PUMZI NI WAKATI WA WATZ WALIO NJE KURUDI NYUMBANI KUJA KUWEKEZA HAPA KINA MWAKIJIJI,MZEE WA NY,NA WENGINEO NCHI INATUHITAJI NOW JAPO KIUMRI NI MDOGO NADHANI NIMEELEKA PENYE MATATIZO NITATOA MAREKEBISHO.
   
 2. N

  NgomaNgumu Senior Member

  #2
  Jul 7, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 193
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tatizo kubwa liko ktk utendaji wa kazi na si ideas kua nini kifanyike. Kama kilimo kwanza ni miradi ya watu kama ulivyodai basi hata hizo ideas zitageuka kua miradi ya watu. Tatizo ni kubwa kuliko unavyofikiria hivi unadhani kua Tanzania mpka leo inashindwa kua na umeume kama ummeme kama vile umeme unatolewa bure.
   
 3. Gwota

  Gwota JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35

  sijui km serikali itakusikia
   
 4. F

  FredKavishe Verified User

  #4
  Jul 7, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  hii nchi yetu cjui
   
 5. F

  FredKavishe Verified User

  #5
  Jul 7, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  tuombe wasikie
   
 6. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #6
  Jul 7, 2011
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  we unadhani mkukuta, mkurabita, kilimo kwanza, stracture adjustment program na nyingine nyingi zinashindwa kutokana na sera. tatizo hapa ni utekelezaji na uwajibishwaji. kila kitu kimegeuka miradi ya watu wachache, yani hadi tanesco watu walikuwa wanachota mamilioni kirahisi tu ilhali hawazalishi umeme.
   
 7. F

  FredKavishe Verified User

  #7
  Jul 7, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  siasa zikiingizwa kila mahali hakuna kitu
   
 8. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #8
  Jul 7, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  Serikali yetu ni 'sikivu' sana ila inadharau mno.
   
 9. F

  FredKavishe Verified User

  #9
  Jul 7, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  sikivu halafu dharau basi hakuna kitu hapo
   
 10. J

  Jahom JF-Expert Member

  #10
  Jul 7, 2011
  Joined: Aug 26, 2008
  Messages: 349
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Tanzania hatuna njaa, ila tuna umaskini wa kipato!
   
 11. F

  FredKavishe Verified User

  #11
  Jul 7, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  mkuu watu wanakula mizizi unasemaje ww
   
 12. J

  Jahom JF-Expert Member

  #12
  Jul 7, 2011
  Joined: Aug 26, 2008
  Messages: 349
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Wanaokula mizizi ni kwa kuwa hawana kipato cha kununua chakula kilichopo. Wakulima wa hand to mouth hawatakiwi kwa namna yyt. Agrarian rev inahitajika ss kwa buying off small land holders kutoa nafasi kwa commercial farming. Ni suala linalohitaji maamuzi magumu ambayo ni mpaka uwe dikteta ndo yanafanyika. Wenzetu walifanya haya karne ya 15.
   
 13. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #13
  Jul 7, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,393
  Trophy Points: 280
  Jahom nakuunga mkono!tuwe na wakulima wachache wakubwa ambao wakizalisha wanakua na soko la uhakika la mazao yao!upande wa wananchi wengine wasio wakulima wawe na shughuli zingine za uzalishaji kama viwanda na biashara!imagine wakati ule kulikua na viwanda sunguratex,urafiki,ufi,etc hao wafanyakazi wakati wa lunch walikua wanakula vyakula canteen hivyo mkulima tayari ana soko!kwa sasa watanzania wengi wanaishi kwa mhogo na uji hawana kipato
   
 14. F

  FredKavishe Verified User

  #14
  Jul 7, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Tukiweka nia inawezekana kabisa
   
 15. Halfcaste

  Halfcaste JF-Expert Member

  #15
  Jul 7, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 973
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Hatuna umasikini wa kipato bali umasikini wa akili(Poverty of Philosophy)
   
 16. Dume la Mende

  Dume la Mende JF-Expert Member

  #16
  Jul 7, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 419
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu, wazo lako mimi nimelipenda sana ila nina maswali mawili matatu hivi:
  Hizo hekta 50000 zinapatikana wapi kaka?
  Kilimo hiki cha umwagiliaji sawa, lakini kama hizo hekta hazipo karibu na hayo mabonde inakuwaje?
  Na kama hatutategemea mvua, nini mbadala ikiwa mashamba yatakuwa mbali na mabonde hayo ulotaja?
   
 17. T

  Taifa_Kwanza JF-Expert Member

  #17
  Jul 7, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 443
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  1. Serikali inatakiwa kufuta kodi zote kwenye bidhaa zinazotumika kwenye kilimo.
  2. kisha izuie kabisa wageni kujihusisha na kilimo katika namna yoyote
  3. Kisha ama ipunguze au ifute kiwango cha kodi (tax rate) kwenye faida inayopatikana
  kutokana na biashara yoyote inajihusisha moja kwa moja na sekta ya kilimo.
  4. Katika kila manispaa, serikali itenge maeneo ambayo ni kwa ajili ya kilimo tu
  kama hakuna shughuli za kilimo zitakazokuwa zikifanyika katika maeneo hayo yaachwe wazi.
  5. Elimu ya kilimo iwe ni lazima kama ambavyo lugha na computer ni lazima
  6. Elimu ya kilimo iwe reginalized, kwa maana ya maeneo ambayo kuna wafugaji wafundishwe juu
  ya ufugaji, wanakolima pamba wafundishwe kwa undani wa kipekee juu ya kilimo cha pamba,
  kadharika na katani, na korosho, karafuu nk.

  Kwa nini?
  Hatua hizi zitasababisha yafuatayo
  1. Kwa kufuta kodi kwenye bidhaa za kilimo, itasaidia bidhaa hizi kupatikana
  kwa unafuu zaidi.
  2. kuzuia wageni ni kwa sababu ni kwa ajili ya kuwawezesha watanzania kufaudu
  punguzo la kodi ndani ya ardhi yao n.k
  3. kuondoa au kupunguza corporate tax kutahamasisha watu wenye mitaji
  kuielekeza kwenye kilimo
  4. Utengaji wa maeneo utawahakikishia watanzania upatikanaji wa ardhi bora
  kwa shughuli za kilimo
  5. Elimu itawapatia watanzania uelewa wa kilimo
  6. Mambo mengine Forces of demand and supply will take care of them.

  La Mwisho
  Serikali isijishirikishe kwenye kilimo hata kidogo, ikae pembeni yenyewe isimame
  na kuhakikisha kwamba playing field iko respected na watu wote. Inawezekana
   
 18. F

  FredKavishe Verified User

  #18
  Jul 7, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  mkuu mabonde tz yako mengi sana kama misri wameza kutengeza mifereji kutoka nile kwanini na sisi tusiweze kuyatumia maji ya viktoria kwenye umwagiliaji'na maziwa mengne mkuu
   
 19. F

  FredKavishe Verified User

  #19
  Jul 7, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  mawazo yako mazuri tukiyajazia hapo juu hakika tutaweza mkuu tuweke pembeni kabisa
   
 20. F

  FredKavishe Verified User

  #20
  Jul 7, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  hekta 50000 zipo mkuu ukipita barabara ya kwenda arusha unakuta mashamba mengi wazi pia na maeneo mengne kama ya kwenda mbeya
   
Loading...