Vita Kati ya Serikali na CCM itaisha? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vita Kati ya Serikali na CCM itaisha?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Acha Uvivu, Jul 10, 2011.

 1. Acha Uvivu

  Acha Uvivu JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 528
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ndugu wana Jf nimefikiria na nikaona kuwa kabla hujazungumzia upinzani, Serikali na CCM vinachuana sana. Waziri wa Utawala bora Ofisi ya Rais Mathias Chikawe amemsafisha Chenge lakini kauli ya Nnauye kutofautiana na Chikawe inashiria nini? Nape akifanikisha hili angalau atakaonekana kidume koko kuliko kujitapa kutugusa si Chadema chama kubwa ambako anaambulia aibu tu. Hivyo basi namshauri Nape akaze buti maana siku alizoahidi mwisho leo na atakuwa amejizolea ka umaarufu kuliko hata Mukama. Chadema tunasonga mbele na lazima mamluki wao John Shibuda atimliwe kabla hajafahamu siri zetu.
   
 2. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  shibuda c mamluki. unayoyaona anayafanya ni njaa yake tu binafsi na ujuha. hakuna aliyemtuma kwamba anawajibika kwake. Ni kwa taaarifa tu ndugu
   
 3. Acha Uvivu

  Acha Uvivu JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 528
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Njaa ya Shibuda ndio waliyonayo ccm. Maana tabia ya kutojali umaskini wa watanzania wanajali matumbo yao tu. Hatuhitaji ushahidi wa SFO au CIA kusema Shibuda mamluki. Ndoo maana hoja zake zinafanana na wanamagamba.
   
 4. hengo

  hengo JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hoya mbona mwanichanganya inamaana serikali ni Mhe.chikawe na Nape ndo ccm?mbona mna hukumu umma kwa mawazo ya mtu binafisi?U guys!Think deep and sick in your own thought.
   
Loading...