Taifa kwanza: Rais na mawaziri 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taifa kwanza: Rais na mawaziri 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by W. J. Malecela, Jul 7, 2011.

 1. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #1
  Jul 7, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,616
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  - Salaam wananchi wenzangu,

  kuelekea uchaguzi wa 2015 ni muhimu sana wananchi tukaanza sasa kujadili wanaotufaa kwenye nafasi za uongozi wa juu yaani Rais na Mawaziri, na sababu; wasiotufaa pia tuwaambie kwa lugha ya Black and White yaani the truth bila kuchanganya maneno! na tujali Taifa kwanza vyama baadaye!

  - Tanzania sio taifa la mtu mmoja au kikundi flani tu na tuanze kuambiana ukweli kuanzia sasa mapema sana ili maviongozi magoi goi waanze kujifikiria mapema kama wapo kwenye the right field au wajiondoe wenyewe, maana ninakatishwa tamaa sana na baadhi ya majina ya wanaotajwa kujipanga kuchukua fomu hasa za Urais 2015!

  - Nani wanafaa na nani hawafai na sababu?

  - Mungu Aibariki Tanzania!


  William @ NYC, USA.
   
 2. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #2
  Jul 7, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,998
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  Dr.Slaa ndo rais ajaye wala hana mpinzani.
  sababu.
  anawajali wananchi wake.
   
 3. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  I'm hoping to see new faces in 2015. Wagombea ambao kwa sasa hata hatuwahisi wata gombea.
   
 4. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #4
  Jul 7, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,616
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  - Mkuu heshima yako sana, vipi ukifafanua kidogo nini maana ya Dr. Slaa kuwajali wananchi wake?

  Willie @ NYC, USA.
   
 5. Z

  Zion Train JF-Expert Member

  #5
  Jul 7, 2011
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 503
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Zitto kama urais itashindikana basi apewe ata wizara ya fedha hili fedha zetu ziwe na mipango thabiti na yenye maendeleo kwetu sisi wanachi, Makamba Jr anafit sana kwenye mambo ya ndani.
   
 6. K

  KERENG'ENDE JF-Expert Member

  #6
  Jul 7, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 398
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mzee hishima kwako!

  Huyu Dr. Slaa ni Mtanzania wa pili kuuchukia ufisadi kwa vitendo wa kwanza akiwa marekemu Mchonga meno Ak Kifimbo
   
 7. Sooth

  Sooth JF-Expert Member

  #7
  Jul 7, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 3,773
  Likes Received: 4,491
  Trophy Points: 280
  Lowassa. He is better than the rest of Magambas.
   
 8. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #8
  Jul 7, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,998
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  mkuu mwenye macho haambiwi tazama, Dr.Slaa ametufanya wengi tuitambue nchi yetu, kuwajali ni pamoja na kuwaambia kwa kutumia sauti yake kuhusu maadui wao, kuwajali ni pamoja na kuwapa njia sahihi yakuwatoa kwenye dimbwi la umaskini, kuwajali ni pamoja na kutoogopa kuwasemea. ni nani amethubutu kufanya hivyo baada ya Nyerere?
   
 9. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #9
  Jul 7, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Kwani lazima kila issue ya urais lazima awemo huyu?
   
 10. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #10
  Jul 7, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,616
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  - Mwalimu the greatest alitusaidia kutufanya huru, lakini the rest ni debatable, naomba unishawishi zaidi kwamba Dr. Slaa anafaa kuwa Rais wa kulisaidia hili taifa zaidi ya wengine, kwa mfano unasema ndiye aliyetufunua kuhusu mafisadi ambao mpaka leo hakuna aliyefikishwa kwenye sheria, Dr. Slaa anao ushahidi wa kutosha kwa nini asiwapeleke kwenye sheria kwa jina la wananchi? I mean Mch. Mtikila siamini kwamba ana uwezo wa kuwa Rais, lakini kwenye hili la kwenda kwenye sheria na ushahidi anaonekana kuwa na ubavu zaidi,

  - Sasa je tutaendelezwa na Rais asiyesimama kuona sheria inatendeka?


  Willie @ NYC, USA.
   
 11. n

  nyamagaro JF-Expert Member

  #11
  Jul 7, 2011
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 385
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Wewe mzee wa NYC, hoja umeileta kinafiki kama kawaida yako. Kibaya zaidi ni kwamba ukisikia jina Dr. Slaa unatishika sana. Nonetheless, you are portraying typical characters of descendants of chama cha magamba.
   
 12. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #12
  Jul 7, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,616
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  - Sema nani anafaa au hafai kua Rais au Waziri, kama huwezi kaa pembeni achia wanaoweza mimi sigombei urais wala anything, uwe na siku njema sana mkuu!

  Willie @ NYC, USA.
   
 13. K

  KERENG'ENDE JF-Expert Member

  #13
  Jul 7, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 398
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Inawezekana kabisa kuna watanzania wenye uwezo zaidi ya Dr. Slaa lakini kinacho wa ponza ni uoga. Hivyo Dr. Slaa anabakia kuwa chagua langu kwa sasa
   
 14. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #14
  Jul 7, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,198
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Serikali ya mseto? Au Makamba atkuwa amehamia CDM? Au Zitto atakuwa CCM? Ndani ya CCM hii ya sasa hakuna mgombea Urais mwenye sifa. Labda waje kama wagombea binafsi. Kwangu mimi Dr. Slaa, Fredrick Sumaye, Edward Lowassa na Salim Ahmed Salim ndio wanaofaa kugombea Urais lakini kwa sasa nchi inahitaji mtu kama Dr. Slaa
  Kwanini?

  1.Dr. Slaa- Anaonyesha kwa vitendo kwamba anasimamia yale anayoyasema, ana upeo mkubwa, ana uwezo wa kufanya maamuzi magumu (Ambao ni ugonjwa sugu wa Taifa), mwadilifu, hardworker, anachukia ufisadi kwa vitendo na ana sifa ya kuwa kiongozi (anaweza kwaongoza wengine)
  2. Sumaye- Ana uzoefu wa uongozi, Elimu ya kutosha, akiwa Waziri Mkuu (miaka 10) walau nchi mafanikio yalikuwepo chini ya Rais Mkapa
  3.Edward Lowassa- Anaweza kuamua na kusimamia maamuzi magumu (hata kama yatamgharimu), linapotokea tatizo kubwa anatafuta suluhu kama kiongozi, anajua dhana ya kuwajibika anapokosea (Ugonjwa mwingine kwa Tanzania), anaweza kuwasimamia watendaji walio chini yake, mvumilivu n.k
  4.Dr.Salim Ahmed Salim- Kiongozi mzoefu, msomi, amebobea kwenye uongozi wa ndani na nje ya nchi, ana busara, pamoja na kuongoza taasisi kubwa za kimataifa hana doa lolote

  Hata hivyo hawa watu wa mwisho watafaa ikiwa wanakuwa wagombea binafsi au wakiwa kwenye vyama lakini kwa KATIBA mpya itakayo punguza mamlaka ya Rais na kuruhusu Rais ashtakiwe kwa makosa aliyoyafanya akiwa madarakani. Aidha watafaa endapo Bunge na mahkama pia vitapewa meno ya kuwa independent na kuwa na uwezo kufanya Impeachement kwa Rais akiwa madarakani.
   
 15. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #15
  Jul 7, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,998
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  mkuu bila kupoteza sana maana ya tunachojadili, naomba nikuhakikishie kuwa hakuna mahakama nzuri na inayotoa haki km wananchi, hivi ni muda gani mafisadi wametajwa na hawjaenda kushtaki? na vp kuhusu kinga ya rais? anaweza akashtakiwa? mfano mwingine mzuri ni ushahidi wa mkapa dhidi ya kesi ya prof. mahalu, hilo sitalizungumzia sana, kingine ona leo hii bunge linavyomsafisha chenge? jeuri hii yatoka wapi? mkuu chonde chonde, kwa sasa hatuna mwingine zaidi ya Dr. Slaa.
   
 16. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #16
  Jul 7, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,616
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  - Dr. Harrison Mwakyembe; anafaa sana kuwa Rais, au Waziri Mkuu 2015, hana uoga wa kusema ukweli, ni msomi, mtendaji na muadilifu na pia mfuatiliaji na anaheshimu sana Sheria.

  - Ninasema anafaa sana!


  Willie @ NYC, USA.
   
 17. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #17
  Jul 7, 2011
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  kwa jinsi hali ilivyo mbaya kwa sasa, kama taifa tusipokuwa makini tena saana kuwapata viongozi watakaoweka maslahi ya taifa mbele
  tutajikuta tunaingia tena kwenye matatizo makubwa kwa miaka mingine kumi

  Kuna hulka mbaya saana ambayo tukishamuona mtu kafanya vizuri mahali fulani tunahisi tukimuongezea majukumu anaweza kuperform zaidi mfano mzuri ni aliyekuwa mkurugenzi wa tume ya jiji Keenja, alifanya vizuri alipokuwa jiji alipoenda kwa siasa akapewa wizara sikuona alichokifanya,,na mashaka saana na mtu kama Zitto mnaweza kumuona ni mzuri kwa sasa lakini mkimpa wizara anaweza asifanye kitu kabisa

  Swala la nani atakuwa raisi naamini hata tukipendekeza watu hapa kama hawatakubalika na WAMILIKI WA CCM, hakuna kitakachofanyika, cha msingi ni CCM iachane na mafisadi waweke mfumo mzuri wa uchaguzi ndani ya chama kwa kufanya hivyo watu wengi watajitokeza na wale wenyee uwezo wa uongozi ndo watakao pata fursa za kugombea nafasi mbalimbali. kwa mfumo wa sasa kama haupo kwa kundi fulani hata kama wewe ni mzuri kiasi gani huwezi pata nafasi.

  cha kubadilisha ni mfumo kwanza na sio kupendekeza watu
   
 18. i

  issenye JF-Expert Member

  #18
  Jul 7, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 1,146
  Likes Received: 988
  Trophy Points: 280
  anayefaa ni baba yako mzee john samweli malecela;

  sababu ni kuwa alipewa mapesa kibao na waarabu hadi kubadilisha dini kwa hiyo anatakiwa awe rais wa danganyika ili aweze kurudisha pesa za watu.
   
 19. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #19
  Jul 7, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mkuu mada hii naona huwa huiachi miaka yote unaipenda hahaha poa lakini wacha wachambuzi wakupe maneno yao juu ya Slaa naona wewe umsema huelewi maana ya kuwajali wananchi kwa Slaa .
   
 20. K

  KERENG'ENDE JF-Expert Member

  #20
  Jul 7, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 398
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hakuna mahakama kubwa zaidi ya wananchi ambayo mwana siasa wa upinzani ana weza akashitaki na kusikilizwa........hilo ndilo alilo fanikiwa Dr. Slaa kumfananisha na Mtikila ni makosa makubwa kwa sababu mtikila ana mlengo wa maslahi binafsi zaidi kwa kila jambo analofanya kama vile Mrema na Zitto Kabwe
   
Loading...