Maalim Seif akiri atahamia CCM iwapo.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maalim Seif akiri atahamia CCM iwapo....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Shark, Jul 10, 2011.

 1. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,054
  Likes Received: 7,259
  Trophy Points: 280
  Makamu Rais wa Zanzibar na Katibu mkuu wa CUF Bw. Seif Sharrif Hamad amekiri kufuatwa na watu wakimuomba ajiunge na CCM ili kudumisha muafaka uliofikiwa huko Zanzibar.Kwa mujibu wa yeye mwenyewe Seif, aliwajibu yuko tayari kujiunga nao CCM kwa sharti la KUPEWA UENYEKITI wa Chama. Aliyasema hayo wakati akihojiwa na Mtangazaji Ramadhani Semunyu katika kipindi cha Dakika 45 kitakachorushwa hewani na ITV hapo kesho.Inawezekana alitoa sharti gumu ili washindwe,lakin kutaja kwamba anauhitaji uenyekiti wa Ccm ili ajiunge nao ni ishara kua anapenda madaraka.
   
 2. Ikumbilo

  Ikumbilo JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 455
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Huo jamaa anapenda sana madaraka kuliko kututetea Wananchi.
   
 3. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Ni jambo lisilowezekana. Ni sawa na mwanaume kubeba mimba na ndio maana akasema kwa masharti yale akijua kuwa KAMWE hawawezi kumpa ueyekiti kisa tu karudi ccm
   
 4. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,054
  Likes Received: 7,259
  Trophy Points: 280
  Tufumbe macho kisha tuvute 'image' kwamba ndo CCM wamekubali kumpa, angehamia?

  Pili sharti lake hata kama haliwezakani but linapuuza vigezo vingine kama
  1) Historia ya vyama hivyo viwili.
  2) Itikadi zao
  3) Mustakabali wa wanachama waliobaki n.k.
   
 5. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Huyu mzee ni mwanafalsafa mzuri sana. Améfanya kazi na sisiem na kawajua akili zao za kuku..
   
 6. Jiwejeusi

  Jiwejeusi JF-Expert Member

  #6
  Jul 10, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni changamoto kwa civic united ya bara. Wajiandae siku moja kutengwa na wazbr. Haliko mbali kwani 2013 muungano utavunjika kitendo kitakachotafasiriwa kama uhuru wa zbr na kuongeza taifa ktk dunia hadi 194. Naombea hilo litokee, nimechoshwa na manyanyaso ya zbr dhdi yetu wabara. Wazbr komaeni mpate nchi yenu.
   
 7. i

  in and out Member

  #7
  Jul 10, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  seif anawajua ccm kuliko kiongozi yeyote wa upinzani, ndio maana kawapa sharti gumu kiasi hicho ni sawa na yanga kuifunga simba siku ya leo!
   
 8. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #8
  Jul 10, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mkuu. tusubiri hiyo kesho tuone ndio tujadili
   
Loading...