Wanafunzi watanzania wanyimwa vyeti vyao-urusi

gubegubekubwa

JF-Expert Member
Jun 9, 2008
637
814
Wana jf taarifa nilizozipata kutoka Urusi ni,
Wanafunzi watanzania waliohitimu shahada zao mwaka huu(june 2011) katika chuo kikuu cha urafiki(Lumumba)nchini Urusi chini ya udhamini wa serikali ya tanzania kupitia bodi ya mikopo ya elimu ya juu,wamenyimwa kupewa vyeti vyao kutokana na serikali ya tanzania kushindwakulipa ada zao za masomo,mpaka sasa wanadaiwa jumla zaidi ya dola za kimarekani $12000.
Baada ya juhudi kadhaa kufanywa ktk kufuatilia fedha hizo serikalini,walikuwa wakipigwa chenga na kupewa majibu yasiyo ridhisha kabisa.
Wanafunzi wanataka kuondoka na kurudi Tanzania na kuviacha vyeti vyao vikiwa vimeshikiliwa na chuo.kazi kwelikweli!.
 
Lile tawi la CCM Moscow vipi halijasaidia kuifikisha hoja hii kwa mtoto wa mkulima?
 
Hao ni wale watoto wenye uhusiano wa karibu na watawala, waliokwenda huko kifisadi, Bongo kuna vyuo kibao vinavyotambulika kimataifa, kwa nini hawakusoma huko? Vinginevyo wangechukua private sponsership waachane na hivi vimikopo vilivyotengwa kwa ajili ya wasio na uwezo.
 
urusi kila mtu anaenda kinachohitajika tu ni one au two yako unachukua mkopo heslb unapiga shule hata watoto wamasikini wapo huko swala hapa ni hawa jamaa wa heslb ndo (neno la sugu dhidi ya clouds fm) ndo wanaoharibu mipango ya wanafunzi wakitz..
 
Si kweli watoto wa vigogo wanasoma urusi.....mimi ni mmoja wa watoto masikini niliyesoma huko tena kwa private sponsorship....watoto wa matajiri wanapelekwa Marekani na Uingereza.......issue hapa ni serikali haijapeleka hela....i feel bad najua jamii watakuwa wanateseka sana
 
ndio maana nilichomoa kwenda huko nikakomaa na vyuo vya bongo,watoto wanawapa sponsorship za ulaya magharibi na america,sisi choka mbaya wanaishia kutupa za urusi,algeria na india,siku hizi hata za china hupati,si unajua uchumi wa china ulivyo juu
 
Hawa jamaa nilishaona malalamiko yao ya allowance za kujikimu za kila mwezi ilikuwa wanapewa kwa mbinde. Nahisi watakuwa wameteseka sana kwa ajili ya watu wachache wasiopenda kuwajibika serikalini. Sijui lini tutabadilika kwenye swala zima la uwajibikaji wa kiuadilifu. Mungu ibariki Tanzania.
 
Wana jf taarifa nilizozipata kutoka Urusi ni,
Wanafunzi watanzania waliohitimu shahada zao mwaka huu(june 2011) katika chuo kikuu cha urafiki(Lumumba)nchini Urusi chini ya udhamini wa serikali ya tanzania kupitia bodi ya mikopo ya elimu ya juu,wamenyimwa kupewa vyeti vyao kutokana na serikali ya tanzania kushindwakulipa ada zao za masomo,mpaka sasa wanadaiwa jumla zaidi ya dola za kimarekani $12000.
Baada ya juhudi kadhaa kufanywa ktk kufuatilia fedha hizo serikalini,walikuwa wakipigwa chenga na kupewa majibu yasiyo ridhisha kabisa.
Wanafunzi wanataka kuondoka na kurudi Tanzania na kuviacha vyeti vyao vikiwa vimeshikiliwa na chuo.kazi kwelikweli!.

Wakirudi na kuviacha vyeti huko, that will be the end of it. Hawatavipata tena, b'se wakirudi bongo watasambaratika kiasi cha kutoweza kufuatilia malipo kwenye vyombo husika.
 
Si kweli watoto wa vigogo wanasoma urusi.....mimi ni mmoja wa watoto masikini niliyesoma huko tena kwa private sponsorship....watoto wa matajiri wanapelekwa Marekani na Uingereza.......issue hapa ni serikali haijapeleka hela....i feel bad najua jamii watakuwa wanateseka sana

Hapo kuna mgongano.
 
Magamba hawana swaga, maneno mengi na wizi wa hela zetu tu. Uongozi wa chuo umefanya poa! Selikari ilipe hizo pesa!

Sasa kuna haja gani ya kuwa na tawi la chama chochote hapo Moscow kama halina msaada wowote japo hata kuipush serikali iwasaidie hawa jamaa? Ama ndio matawi ya kujipendekeza?
 
Ni kwel kabisaa heslb haitimiz ipasavyo mahitaj ya hao wanafunz wasomao nje.lakn ushauri wangu kwa wengine,kwa facult zinazopatkana hapa bongo n bora mtu ukakomaa hapahapa na si kujivunia kutoka nje baadaye unashindw kumudu maisha ya huko.Kwa private sponsorshp ndo bora zaid kusomea nje..!!
 
Hao ni wale watoto wenye uhusiano wa karibu na watawala, waliokwenda huko kifisadi, Bongo kuna vyuo kibao vinavyotambulika kimataifa, kwa nini hawakusoma huko? Vinginevyo wangechukua private sponsership waachane na hivi vimikopo vilivyotengwa kwa ajili ya wasio na uwezo.
Sio kweli, huko wanasoma wenye uwezo kichwani na sio faranga, kama ndivyo kwetu tusingeweza na kwa taarifa yako watoto wa vigogo wanasoma marekani, australia na kwingineko
 
Poleni wakuu hii ndio gvt ya kitanzania lakn nawashauri wajaribu kuwasiliana na Barozi wa Tz aliyeko huko kama heslb wanazingua ili awa presentie swala lenu huku kwa hawa wazee walioko mbali na wananchi wao,polen sana na mrudi salama tuje tuendeleze mapambano dhidi ya hawa Magamba
 
Hao ni wale watoto wenye uhusiano wa karibu na watawala, waliokwenda huko kifisadi, Bongo kuna vyuo kibao vinavyotambulika kimataifa, kwa nini hawakusoma huko? Vinginevyo wangechukua private sponsership waachane na hivi vimikopo vilivyotengwa kwa ajili ya wasio na uwezo.
we nawe ushakuwa biased. Kwani kwenda kusoma nje hadi uwe mtoto wa fisadi.!Kama wamechukua mikopo inawezekana na wenyewe ni miongoni mwa hao wasiokuwa na uwezo waliotengewa fungu.
 
Back
Top Bottom