Mbunge wa Jimbo langu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge wa Jimbo langu!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by JACADUOGO2., Jul 11, 2011.

 1. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Jamani naombeni mnisadie kujua kuwa mbunge wa jimbo la Rorya, Mh. Lameck Okambo Airo (CCM) yuko bungeni Dodoma au yuko wapi? Na kama yuko bungeni anafanya nini kwani hajaongea hata siku moja pale bungeni na wanarorya wana matatizo mengi ambayo walitegemea kuwa yangeongelewa bungeni na huyu mbunge wao Lameck O. Airo. Wanarorya tunataka kujua hatima ya Rorya na huyo mbunge wa Rorya ambaye ameshindwa kuzungumzia matatizo ya Rorya pale bungeni.
  Je, wanarorya tuna mbunge au hatuna mbunge? Mnisaidie!
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Rostam yeye pia ni bubu bungeni!
   
 3. Y

  Yetuwote Senior Member

  #3
  Jul 11, 2011
  Joined: Jul 22, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anachangia kwa maandishi
   
 4. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Si nasikia huyu Mbunge ni tajiri huwa anawasaidia watu, pia nasikia kawajengea mashule, ingiwa ni darasa la nne la kata
   
Loading...