Uchaguzi wa 2015, CHADEMA, CCM hali ya hewa si shwari

CPA

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
809
354
Hali ya hewa ndani ya vyama vikuu hivi wili kuelekea uchaguzi wa 2015, c mzuri. Huku ccm wakipambana na lowassa anayetaka urais kwa udi na uvumba na akielekea kupata sapoti na kuwaachia NAPE NA MUKAMA vumbi na siku zao 90 zilizowashinda kutekelezeka. Huku Zile tetes za zito na nccr naona zinaweza kuwa kweli. Hali inavyonyesha Zitto anapigania kugombea urahisi 2015 kama lowassa. Hali inavyojionyesha cdm, zitto atachukua form ya kinyang'anyiro cha urais na endapo cdm hawatampa fursa hiyo anaenda NCCR. Kauli yake aliyeweka facebook, kuhusu ile kauli ya JK kule kigoma ya kuwa rais ajae yafaa awe kijana imempa kichwa. Na tuhuma anazitoa kwa mh.mbowe juu ya gazeti la tz daima, inaonyesha ni jinsi gani uhasama wa zitto na mbowe unavyozidi kukua, huku wadadisi wa siasa wanasema chanzo ni uraisi 2015. Uchaguzi wa 2015 ni kivumbi, huku zito anachafua hali ya hewa cdm na ccm lowassa anachafua hali ya hewa. Yangu macho
 
Katiba ya Tanzania haimruhusu kutokana na umri wake kwa wakati huo atakuwa hajafikisha miaka 40, kama sijakosea
 
Whether Zitto atachukuwa form 2015 au hatochukuwa, binafsi sina shaka hata kidogo kuwa huyu bwana atasababisha mgogoro CHADEMA. Na kwa maoni yangu CHADEMA waanze mkakati wa kukabiliana na matatizo yatakayosababishwa na huyu bwana.
 
CDM pametulia na umma bado unawaamini lakini magamba yamepoteza uelekeo yanatumia nguvu ya dola ku-survive!
 
Back
Top Bottom