Je huu si ufisadi pia? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je huu si ufisadi pia?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mbaliche, Jul 11, 2011.

 1. Mbaliche

  Mbaliche JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2011
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Je huu si ufisadi pia?
  Makampuni ya cm yanatumia nyimbo za wasanii kwa wateja wao maarufu kama caller tone na kuwatoza wateja kiasi fulani cha pesa,swali langu ni hili je wasanii wenye nyimbo wananufaika vipi na hizo pesa zinazo kusanywa na hayo makampuni.
   
 2. Big One

  Big One JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 759
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  kiongoz hapo umeongea ukweli tena wanakulazimisha kweli ujiunge na caller tone wanatakiwa wapate percent nao
   
 3. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  fanya utafiti wa kutosha tuongee kwa uhalisia na takwimu.
   
 4. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  fanya utafiti wa kutosha tuongee kwa uhalisia na takwimu.
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Jul 11, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Kaka Kama hujui uliza kwanza usianze kwa kulaumu!!!!! wasanii wanafaidika sana kwa ringtone zao!! waulize wenyewe watakwambia!!
   
Loading...