Ni Chama Kipi kina mawazo mazuri? Kama vyote hafivai, should we be allowed to Vote Non of the Above?

VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,194
1,355
Wakuu kati ya CUF; CCM, TLP, NCCR MAGEUZI na Chadema ni chama kipi chenye mawazo bora na yanayotekelezeka.....

Kwa CCM ni kipi bora walichotufanyia?,

Kwenye kupiga Kura je inafaa kuwe na BOX la wote hawafai?, kwa wale wasiopenda vyama vyote vilivyopo?

Je ni wakati wa muafaka kuwa na Mgombea Binafsi?

Tashukuru kwa majibu yenu

On second note.., is politics really necessary?
 
Back
Top Bottom