Vijana Wasomi Tatizo Jipya la Taifa na Ulafi Wa Madalaka na Mali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vijana Wasomi Tatizo Jipya la Taifa na Ulafi Wa Madalaka na Mali

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by DSN, Jul 12, 2011.

 1. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Drama iendeleeeeeeee hakika muda utasema,"WHAT GOES AROUND COMES AROUND",STRATEGY NZURI KAMA INGETUMIKA HIVYO KWA WABONGO KITAANI,HAKIKA WANGEFANIKIWA,NI LAHISI SANA KUZIDANGANYA AKILI ZA WASOMI WA KILEO KWA KUWA WALIO WENGI WETU TUMEKUWA WALA RUSHWA YA MALI NA AKILI [CORRUPT MIND].NA RUSHWA YA AKILI NI MBAYA ZAIDI KULIKO RUSHWA YA MALI.

  USALITI HUU MWALIMU ALISHAUSEMA MSOMI NI ADUI NAMBA MOJA WA JAMII PALE ANAPOTUMIA ELIMU YAKE KWA MANUFAA YAKE BINAFSI NA SIO KWA UMMA.NI SAWA NA MTU ALIYETUMWA NA JAMII YENYE NJAA KWENDA KUHEMEA CHAKULA KISHA AKAPOTEA PASIPO KULUDI NA CHAKULA HICHO CHA JAMII.MTU HUYU NI TISHIO NA ZAIDI YA MHAINI NA ADHABU YAKE JAMII INAYOHUKUMU YAO.

  KWA MUDA HUU WA SASA,WANAOWAJENGA,WALE WOTE WANAOTUHUMIWA JUU YA UFISADI, SIO WALALAHOI WA TEMEKE,IGALULA,KIMANZICHANA AU KIMANDOLU, BALI NI WASOMI TENA WALIO WENGI NI VIJANA HASWA WALIOHITIMU VYUO VIKUU.TEGEMEO LA TAIFA NI VIJANA AMBAO LEO TUMERITHI TABIA YA UCHOYO,ULAFI,UBINAFSI,UONGO,WIZI NA UNAFIKI,NA DAIMA MRITHI UWA NA VITABIA CHOCHEZI [GENETICS] AMBAZO NI ZAIDI YA MTANGULIZI.HAKIKA VIJANA WA SASA TUMEKUWA TISHIO KWA KUWA TUNATUMIKA KULIKO WAZEE WETU KATIKA KUWAJENGA WANASIASA NA WAFANYABIASHARA WENYE UCHU WA MAMBO MENGI YASIYO NA TIJA KWA TAIFA.

  NASHUKURU KUWA KWA KUWA WALIO WENGI TANZANIA NI WALALAHOI WALIO KITAA, NA KWA UJUMLA NI WENGI ZAIDI KULIKO WASOMI WA KADA YA CHUO KIKUU,MUDA UKIFIKA WASOMI TUJIANDAE WATAKAPO KUJA KUDAI CHANGE YAO,HAIJALISHI UKUPEWA MALI [PESA] BALI ULIPOKEA AKILI OVU DHIDI YAO NA UKASHABIKIA KUIJENGA.

  LUGHA HII,NI NZURI KAMA UMESHAPITA KITAA CHANGANYIKENI KAMA KARIAKOO,UWANJA WA FISI DAR NA ARUSHA,IGOMA AU MAJENGO,MPISHANE LUGHA [WENYEWE WANASEMA MZINGUE] KUHUSU MASLAHI YAKE UONE DUNIA ILIVYO NDOGO.

  SASA WALALAHOI HAO WA KARIAKOO,MACHINGA SOKO LA MWANZA,KIBOLOLONI,KIJENGE NA KWINGINEKO,WATAPATA KIONGOZI MSOMI AINA YAO AMBAE ANAYAJUA MACHUNGU YAO YA MAISHA WATAPATA MBINU ZA KUDAI CHANGE YAO,MFANAO TAYARI UMETOKEA MWANZO.

  SIKU WATAKAPOLIPUKA NCHI NZIMA WASOMI NA WANASIASA WALIOFISADIKA KWA MALI NA AKILI WAJITAYALISHIE.
   
Loading...