Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa tafsiri yangu binafsi kijana ni yule aliye na chini ya umri wa miaka 55.......................hivyo mawaziri vijana wenye kuangukia umri huo ninawagusa kwenye mada...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifuatilia presidential hopefulls wanaotajwa tajwa kupitia CCM KWA UCHAGUZI WA 2015 Baadh yao ni: E.LOWASSA S.SITTA MH.F.SUMAYE PROF. M.MWANDOSYSA B.MEMBE DR.ASHA-ROSE MIGIRO...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamani kwanini Africa in particular Tanzania viongozi wanaingia madarakani na jamaa yake yote na marafiki? Je taifa hili na bara hili litaendelea kweli? kwani kiongozi akiweka wananchi wenye...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
hajibu maswali kama mtu professional nahisi amegeuka na kuwa fake zaidi sio kama ninavyomjua
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nilikuwa nikitazama bunge la Uingereza juzi na jana kufuatia sakata la Mzee Rupert Murdoch na uvujaji wa siri za serikali na viongozi wa Uingereza. Nikafananisha bunge hilo na kuona kwamba MKAO...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Akizungumza katika mahojiano na Radio Safari ya mjini Mtwara hivi karibuni Nape amesema serikali ya Rais Jakaya Kikwete ndiyo pekee katika nchi hii iliyokwisha kutoa maamuzi magumu kuliko serikali...
1 Reactions
93 Replies
8K Views
KILA SIKU UKIFUNGULIA REDIO Unachosikia kutoka kwa wabunge hasa wa ccm akiwemo kiongozi wao Job ndugai ni namna ya kujinufaisha wao kupitia posho na bima za afya kwa wao wabunge sasa unajiuliza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
KAKA yangu Shibuda, John Shibuda, umenishangaza. Umenishangaza na kunikatisha tamaa kwa kuwa wewe ni kiongozi na mwanasiasa ninayekubali siasa zako ingawa imani yangu kwako inaporomoka kwa kasi ya...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani inasikitisha sana Kuundwa kamati ya umeme kukatika uwanja wa taifa na samahani kuombwa,ila sijasikia Tanesco wala wahusika wakiomba samahani kwa watanzia ambao umeme kwao imekuwa ni ndoto...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna mambo ambayo lazima yawekwe wazi ili kutofautisha kati siasa ,uongozi, uwakilishi.hii ni kwasababu siku zote siasa haziwezi kuongoza uchumi wala sayansi,kwani siasa ni utaratibu wa mfumo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Imetokea asubuhi hii pale kwenye Supu kwa Bonge, Kinondoni, jamaa wamezichapa kavukavu, kisa eti jamaa kamwambia mwenzie kwamba kwa upeo wake wa akili hana tofauti na Mbunge wa CCM. Jamaa...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Tuesday, 12 July 2011 22:01 0diggsdigg WABUNGE WATAHARUKI, WASEMA BILA MPANGO Leon Bahati na Habel Chidawali, Dodoma MBUNGE wa Kigoma Kusini, Davidi Kafulila (NCCR-Mageuzi), amezua balaa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Bajeti ya Shamuhuna yapitishwa kwa ‘mbinde’ Send to a friend Tuesday, 12 July 2011 21:49 Salma Said, Zanzibar WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi wamepitisha kwa tabu bajeti ya Wizara ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Closed
Naombeni mnisaidie sijawahi Mtanzania kuona mwenye asili ya uhindi au uarabu, polisi au mwanajeshi, je hawaruhusiwi?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi karibuni tumeshuhudia na tunaendelea kushuhudia Bwana Nape ambaye kwa nia ya dhati ulimkabidhi madaraka ya ukuu wa Wilaya ya Masasi ambayo ni madaraka ya kiserikali akizunguuka nchi nzima kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wana JF,habari zenu! Kwa uchache ninapenda kuchokoza mjadala kuhusu upatikanaji wa huduma bora za afya vijijini,ambako zaidi ya 80% waTanzania wanaishi...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
'Wanashirikiana na baadhi ya vyombo vya habari' KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (NEC), Nape Nnauye, amefichua mkakati mzito wa kumchafua, unaodaiwa kufanywa na wapinzani wake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakubwa vipi utekelezaji wa maazimio ya CCM ya kuwapa miezi 3 mafisadi walioko ndani kujiondoa ? nakumbuka mwisho ilikuwa julai 10,mwaka huu sijui nani kajiondoa ? au wameongeza muda
0 Reactions
2 Replies
943 Views
KUNA wanaodhani eti kuna kasoro na udhaifu mkubwa bungeni hivi leo. Siamini hivyo. Hili ninadhani linatokana na yale mazoea ya kuwa na bunge ambalo lilikuwa legelege na linalolala na kuuunga mkono...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Nchi yetu imefanikiwa kupata maraisi wa nne toka uhuru, na kwa sasa tunaongozwa na na serikali iliyo jaa ma dakto wengi kuliko zama zilizopita na wasomi wengi kwa ujumla wake wa kusema mtu ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…