Elections 2010 Siasa

KAKA A TAIFA

JF-Expert Member
Apr 27, 2011
566
80
Kuna mambo ambayo lazima yawekwe wazi ili kutofautisha kati siasa ,uongozi, uwakilishi.hii ni kwasababu siku zote siasa haziwezi kuongoza uchumi wala sayansi,kwani siasa ni utaratibu wa mfumo fulani wa kikundi cha watu kwa kufuata kanuni fulani katika jamii ili kuongoza jamii fulani.kama nchi ina wasomi wa taaluma fulanibasi wanapaswaa kuachiwa waongoze taaluma hizo.siasa ibakie katika maamuzi madodogo yatakayohusu vikundi/chama.ili nchi iendelee wanajeshi wanatakiwa wakie kuwa wanajeshi ,wanataaluma wabakie kwenye taaluma na hapo ndio kutakuwepo na utashi wa kazi yenye tija kwa wananchi na nchi kwa ujumla.elimu lazima ipewe kipaumbele siku zote,halafu siasa ifuate elimu vinginevyo hakutakuwa na maendeleo ya kweli
 
Back
Top Bottom