Kwa wana ccm tu: Nani anafaa kuwa contenstant wa dr.slaa in 2015 election?

JERRY

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
630
502
Nimekuwa nikifuatilia presidential hopefulls wanaotajwa tajwa kupitia CCM KWA UCHAGUZI WA 2015 Baadh yao ni:

E.LOWASSA
S.SITTA
MH.F.SUMAYE
PROF. M.MWANDOSYSA
B.MEMBE
DR.ASHA-ROSE MIGIRO
DR.P.MAGUFULI
PROF.A.TIBAIJUKA
DR.NCHIMBI
NA WENGINE WENGI.........................SWALI KWA WANA CCM JE NI YUPI KWELI KARI YA HAO JUU AU KAMA YUPO MWINGINE SIJAMTAJA ANAEWEZA KUTUPA MTANANGE WA UKWELI KTK MBIO ZA URAISI 2015 NA DR.SLAA. MANA TUNATAKA MATCH IWE KATI YA MAN.U NA ARSENAL AU LIVER.P NA SIO KATI YA MAN.U NA BLACKPOOL,
NAWAKILISHA
 
sisi watanzania ni wapumbavu sana. unapotaka kutafuta ni nani anaweza kuwa rais wa nchi miongoni mwa watu fulani ni vizuri ukaweka vigezo ili watu wavitumie kuamua ni yupi kati yao anawazidi wengine. staili kama hii hapo juu ni dhahiri inapendeza kuwauliza wanafunzi wa shule ya msingi na sio watu wenye upeo wa kujadili mambo.
 
Katakuwa kajerry kale kameya kwa ilala ambako kalikimbia fani na kuingia siasa; unapoteza muda wako Rais 2015 anajulikana; magamba yamegoma kuvulika sasa una lipi tena
 
kwa wana CCM kazi wanayo, hiyo list uliyotoa may be MAGUFULI anaweza kidogo kuweka upinzani.
 
naye ana kashfa ya kujiuzia nyumba za serikali....kwa hiyo hafai kabisaaaaaa....

kwa wana CCM kazi wanayo, hiyo list uliyotoa may be MAGUFULI anaweza kidogo kuweka upinzani.
 
maisha bora kwa kila mtanzania yanahitaji rais dictator.basi.
Atakaye weza kugawa hii keki ya taifa kwa usawa,bila kuangalia nani aliyeniweka madarakani.
Lazima awe na kichaa kidogo kupambana na walafi,sio kazi ndogo,inahitaji rais jasiri kwelikweli.
Ambaye yuko tayari kufa kwa maamuzi yake.
 
Labda magufuli na sitta, hao wengne bora nimpigie kura Mziray au Dovutwa
 
sisi watanzania ni wapumbavu sana. unapotaka kutafuta ni nani anaweza kuwa rais wa nchi miongoni mwa watu fulani ni vizuri ukaweka vigezo ili watu wavitumie kuamua ni yupi kati yao anawazidi wengine. staili kama hii hapo juu ni dhahiri inapendeza kuwauliza wanafunzi wa shule ya msingi na sio watu wenye upeo wa kujadili mambo.

Wewe ndiyo mpumbavu,usitukane watu kileja reja bila sababu za msingi!!
 
Kati ya hao wooote, hakuna anayefaa provided yuko CCM. Kumbuka mh. Mkapa naye alifaa saana, hata kwa vigezo vya mwl.Nyerere. Lakini kwa kuwa alikuwa ndani ya CCM wakamchakachua,haswa haswa Mwl. Nyerere alipofariki. uSISAHAU KUWA "MTOTO WA PANYA HAKOSI MKIA!"
Uliowataja wote wanamikia ya ufisadi, rushwa, uhujumu uchumi na vyo vyote ujuavyo wewe.
 
Nimekuwa nikifuatilia presidential hopefulls wanaotajwa tajwa kupitia CCM KWA UCHAGUZI WA 2015 Baadh yao ni:

E.LOWASSA
S.SITTA
MH.F.SUMAYE
PROF. M.MWANDOSYSA
B.MEMBE
DR.ASHA-ROSE MIGIRO
DR.P.MAGUFULI
PROF.A.TIBAIJUKA
DR.NCHIMBI
NA WENGINE WENGI.........................SWALI KWA WANA CCM JE NI YUPI KWELI KARI YA HAO JUU AU KAMA YUPO MWINGINE SIJAMTAJA ANAEWEZA KUTUPA MTANANGE WA UKWELI KTK MBIO ZA URAISI 2015 NA DR.SLAA. MANA TUNATAKA MATCH IWE KATI YA MAN.U NA ARSENAL AU LIVER.P NA SIO KATI YA MAN.U NA BLACKPOOL,
NAWAKILISHA

Nahisi maandiko haya ni sawa na kibuyu kilichopasuka.
 
Zitto kwa kupitia tiket ya CCM. Au ulikua hujui wewe? Na Slaa hatakua mgombea wa CDM au huna habari kuwa hana zaidi ya mwaka huyo?
 
Nani aliyejua mwaka 1995 angeibuka mkapa na kuwa rais wa nchi hii?.ninahakika wapo wengi tu watakaoibuka wakati ukifika na kuwa rais.muda bado mwingi sana ndugu zangu.miaka 4 iliobaki sio haba yaweza mimi siraji nikaibuka na kuwa kipenzi cha watanzania ghafla na kupewa urais.la msingi tujadili namna ya kuendeleza kilimo na kupeana mbinu nyingine za kufikia maisha bora.Ya rais ajaye yaanzisheni 2014 na mje na vigezo vya rais tunayemhitaji atakaye endeleza mafanikio ya serikali ya awamu ya 4 ya jakaya kikwete.
 
siraji kaboyonga una vituko lol
 
jaman mbona umemsahau WASIRA??..nae anatajwatajwa sana tangu ili bunge lianze..
 
Back
Top Bottom