Tangu lini neno Mbunge wa CCM ni Tusi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tangu lini neno Mbunge wa CCM ni Tusi!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Said Bagaile, Jul 13, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Said Bagaile

  Said Bagaile JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 686
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Imetokea asubuhi hii pale kwenye Supu kwa Bonge, Kinondoni, jamaa wamezichapa kavukavu, kisa eti jamaa kamwambia mwenzie kwamba kwa upeo wake wa akili hana tofauti na Mbunge wa CCM. Jamaa aliyeambiwa hivyo uvumilivu ukamfika kikomo wakaanza kuzichapa kavukavu kabla wasamalia hatujaingilia kati kuwaamulia.

  Kwani Upeo wa Wabunge wa CCM ukoje jamani?

  Naomba kuwakilisha
   
 2. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,147
  Likes Received: 1,242
  Trophy Points: 280
  Hii nimeipenda, kumbe kuwa na akili kama mbunge wa CCM ni issue huko mtaani. Hii inanipa jibu la kwamba hawa jamaa wa CCM ni vilaza
   
 3. M

  Marytina JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  kabla ya mechi ya YANGA na Simba nilishuhudia pale manzese bakresa ngumi na matusi ya nguoni kwa sababu jamaa mmoja wa Simba alidai wana YANGA ni CCM.
  nikabaki nikijiuliza kumbe kuambiwa wewe ni mCCM ni matusi yakusababisha upigane???
   
 4. kabila01

  kabila01 JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 3,012
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  Yanga ni timu yangu tokea kitambo. Ushindi wa hivi karibu sikuweza kuufurahia sana maana watu walikua wananitania kua kama CCM ilivyozoea kubebwa kwenye uchaguzi ndivyo na Ushindi wa Yanga ulivyo. Kwa kweli sikua na amani
   
 5. N

  NAPENDA MASASI Member

  #5
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wabunge wa ccm ni ma-genious!
   
 6. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Malaria sugu naona mkuu huna kazi nyingine zaidi ya kushinda hapa!!!!!!!
   
 7. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
 8. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,726
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa Yanga nikatukanwa ETI ni CCM.
  Sasa nipo ZIMANIMOTO.
   
 9. makandokando

  makandokando JF-Expert Member

  #9
  Jul 13, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Na huyu nae upeo wake kama wabunge wa CCM!
   
 10. wijei

  wijei JF-Expert Member

  #10
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  1mbunge cdm=70wabunge ccm in terms of potentiality
   
 11. wijei

  wijei JF-Expert Member

  #11
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Mwenyewe nikiitwa ccm panachimbika.
   
 12. Kitoabu

  Kitoabu JF-Expert Member

  #12
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 5,765
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Tutolee uch***w wako hapa siku tisin zinepita hatuon badiliko lolote kafie mbali
   
 13. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Wa kuuchapa usingizi bungeni na kutetea uozo?
   
 14. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #14
  Jul 13, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,960
  Likes Received: 20,297
  Trophy Points: 280
  Nakuunga mkono, ni ma-genious wa kupiga makofi na kuunga mkono vioja bungeni na kuzomea hoja zenye maslahi kwa taifa
   
 15. k

  kiloni JF-Expert Member

  #15
  Jul 13, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 575
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kweli ni magenius!
  Wanakula bila kufanya kazi.
  Kweli ni magenious Wanatetea posho kwa ajili ya kukaa tu kwenye viti wakiwa kwenye majukumu yao.
  Kweli ni magenious kwa kuweza kutawala watanganyika kwa usanii kwa miaka 50.
  Kweli ni magenious kwa kuiba raslimali za taifa lao kupitia wageni.
  Kweli ni magenious kwa kuishi katika nchi yao kama peponi wakiwaachia jehanamu wananchi wao.
  Kweli ni magenious kwa kuzuia hoja zenye maslahi ya taifa wakikumbatia hoja za kuneemesha matumbo
  Kama hiyo ndiyo maana ya ugenious basi CCM imejaa magenious!!
   
 16. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #16
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  sasa kwani we utafurahia unadhani ukilinganishwa upeo wako na wabunge wa ccm kwa mfano upeo wako ulinganishwe na profesa maji marefu au upeo wako ulinganishwe na mbunge kama wa nkenge!
   
 17. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #17
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Manager hapa ofisini kasema tusiwe wavivu kama wabunge wa ccm,umezuka mjadala mkubwa sana who is ccm?
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...