Africa???:mtu anaingia kwenye uongozi na mke, watoto, wajomba, binamus, marafiki, wajukuu nk | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Africa???:mtu anaingia kwenye uongozi na mke, watoto, wajomba, binamus, marafiki, wajukuu nk

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mabadilikosasa, Jul 13, 2011.

 1. m

  mabadilikosasa JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2011
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Jamani kwanini Africa in particular Tanzania viongozi wanaingia madarakani na jamaa yake yote na marafiki? Je taifa hili na bara hili litaendelea kweli? kwani kiongozi akiweka wananchi wenye sifa, hao jamaa zao sii watafaidi pia pamoja na jamaa zake? kwanini mtu anakua na madaraka then anaanza kuangalia mkewe,Ndugu wa mke, watoto wake, na jamaa yake kwa ujumla kwa kuwapa vyeo? tutaondokana vipi na ugonjwa huu? mfano Kikwete amezungukwa na ndugu zake kila kona sasa mpaka walinzi ikulu????!!!
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Japo sina uhakika na hayo ya ulinzi ila sababu kuu ni ulafi wa madaraka.Mtu anataka akiachia ngazi angalau awe na kijana wake sehemu ili apate pa kuegemea.It‘s only natural kwa watu wanaojua kwamba yanayowafanya wacheke leo sio haki wala sio mambo yanayoweza kuwalinda huko mbeleni...kwahiyo lazima wajiwekee uhakika wa kuendelea kuishi kwa uhuru na amani ya kupeana.
   
 3. N

  Nakwetu Member

  #3
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaani kuna huo ugonjwa kila mahali. Dr Slaa kampeleka mke halali bungeni, Lissu yuko na mkeo, Ndesamburo yuko na mkwe na mwanye, Zitto yuko na mama yake, jamani hiii ni hatari kabisa.
   
Loading...