Naomba Mwongozo Mh Kikwete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba Mwongozo Mh Kikwete

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ludoking, Jul 13, 2011.

 1. ludoking

  ludoking Senior Member

  #1
  Jul 13, 2011
  Joined: Oct 5, 2008
  Messages: 124
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Hivi karibuni tumeshuhudia na tunaendelea kushuhudia Bwana Nape ambaye kwa nia ya dhati ulimkabidhi madaraka ya ukuu wa Wilaya ya Masasi ambayo ni madaraka ya kiserikali akizunguuka nchi nzima kwa kazi za Kisiaasa kunadi uanamagamba. Issue iko Hivi, kwa sasa dada yangu Fatma Ally ambaye ni DC wa Wilaya ya Nanyumbu ndiye anayeshikilia Wilaya mbili (Masasi na Nanyumbu) Kwa kipindi chote ambacho Nape anaendelea kufaidi Perdiems za uanamagamba huku akiendelea kufaidi 'utukufu' wa Ukuu a Wilaya kitu ambacho sina hakika kama kwa sasa UMEACHWA kwa mpiganaji mama Fatma otherwise huo ni ufujaji wa mali ya umma. Kwa mantiki hiyo ningemuomba Nape ajivue gamba la ukuu wa Wilaya ili aendelee na unamgamba wake
   
Loading...