Nahisi Dr Lucy Nkya anapwaya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahisi Dr Lucy Nkya anapwaya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by rosemarie, Jul 13, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  hajibu maswali kama mtu professional
  nahisi amegeuka na kuwa fake zaidi
  sio kama ninavyomjua
   
 2. M

  Masuke JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Mbona mimi namwona anajitahidi kujibu hasa kwa jana kuliko hata waziri wake.
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  lini ali fit????????????/
   
 4. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Huyu mama ni bora na anajibu KIUFASAHA kuliko waziri mwenyewe, katika majibu yoote magumu aliyoyatoa waziri wa afya...alikuwa akiegemea 'ndugu yangu, natambua kero za wananchi, anione baadae, naomba tukutane baadae tufafanuliane etc', he extremely escaped from being committed to the national assembly ili baadae asije kuulizwa.
  Mama ni bora kuliko waziri mwenye dhamana husika, nashauri ungebadili thread title iwe 'unahisi wazir Dr. Hajji anapwaya'.
   
 5. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  huyu mama sio mwanasiasa, ni dokta wa profesion yake... Hajui kusema uongo kama wa wana magamba!
   
 6. FDR.Jr

  FDR.Jr JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 17, 2008
  Messages: 1,335
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Kimsingi anafukia gaps zilizomo kwa Boss wake Dkt.Hadji, Waziri amepwaya sana na hii inatokana na ugeni wake ktk siasa na pili huyu ni mtakwimu Mzamivu mhitimu wa utafiti na sayansi ya afya na ghafla kaingia siasani miezi 2 tu baada Phd yake hahahaaaaaaaaaaa na kama mzuka kaukwaa uwaziri...tuwape muda hawa jamaa I hope next FY watakuja vizuri
   
 7. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Kwi Kwiii Kweli bado Dr. Hajji hajapata confidence ukizingatia kwamba ni mgeni ktk bunge/politics pili non medic. Tumpatie mda, nakumbuka mwaka juzi wakati tuko LSHTM yeye akimalizia thesis yake!
   
 8. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Tuwapatie muda, mpaka 2025 watakuwa wamepata uzoefu. Asee!
   
Loading...