Miezi 3 waliyopewa mafisadi CCM kujiondoa imeisha Julai 10 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miezi 3 waliyopewa mafisadi CCM kujiondoa imeisha Julai 10

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rutunga M, Jul 13, 2011.

 1. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  wakubwa vipi utekelezaji wa maazimio ya CCM ya kuwapa miezi 3 mafisadi walioko ndani kujiondoa ? nakumbuka mwisho ilikuwa julai 10,mwaka huu sijui nani kajiondoa ? au wameongeza muda
   
 2. F

  FUSO JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,822
  Likes Received: 2,302
  Trophy Points: 280
  mkama kasema dhana ya kujivua gamba si lazma mtu afukuzwe chamani, sisi ndiyo tumetafasiri vibaya.
   
 3. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,826
  Likes Received: 553
  Trophy Points: 280
  Dugu weee!wameshachemsha...Wanachofanya sasa ni kukana kauli zao na kudai kuwa tuliwaelewa vibaya,hawakuwa na maana ya kutimuana,ni term ya kisera.WAMEWAOGOPA MAPACHA watatu!
   
Loading...