Dk wa uchumi na utawala Bora nk, anapoleta maisha bora bila umeme, reli nk

August

JF-Expert Member
Jun 18, 2007
8,393
4,056
Nchi yetu imefanikiwa kupata maraisi wa nne toka uhuru, na kwa sasa tunaongozwa na na serikali iliyo jaa ma dakto wengi kuliko zama zilizopita na wasomi wengi kwa ujumla wake wa kusema mtu ni msomi au anauelewa, lakini cha kushangaza kuna watu au viongozi wanao amini ya kwamba uchumi wa tanzania unaweza kukua au maisha bora yanaweza kuja bila kuwa na umeme au kuwa na umeme wa hadithi hadithi....., kuharibu reli halafu kutegemea ya kwamba mazao, watu nk vitakuwa bila kuwepo kwa reli, kukuza utalii(uchumi) kwa kuliibia shrika la ndege la nchi na kulifilisi nk ili wategeme watu wengine ndio watafanya mikakati ya kuinua uchumi wa tanzania iwe KLM, Virgini, Kenya airways nk nk. na wao fanya hivyo ni ma dokata ++++ ambao wangependa wapate na udokta mwingine zaidi
 
Back
Top Bottom