Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Emergency plant to ease power rationing By JOHN MBALAMWEZI Posted Sunday, July 24 2011 at 12:07 THEA EAST AFRICAN Tanzania has turned to Swedish firm Siemens Energy for industrial gas turbines...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Tangu uongozi mpya wa Bavicha uingie madarakani naona kimya! Au ndo kujipanga? Maana magamba wanazunguka 2 mikoan! Heche vp? Au zilikuwa nguvu za soda! Peoples 2sisubiri mpaka uchaguzi maana...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Sunday, 24 July 2011 05:56 YABAINIKA JAIRO ALIHUSIKA MIAKA MIWILI, KAFULILA AWASHTAKI KWA JK Neville Meena, Dodoma Mwananchi Nishati wafanya ufisadi kwa miaka minne IMEBAINIKA uchotaji...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna matukio mengi sana yanayofanywa na Rais na baadaye kubanika amekosea na inaelezwa kuwa kuna baadhi ya wasaidizi wake pale ikulu wanamfanya Rais wetu aonekane kituko na pengine kutoa matamshi...
0 Reactions
211 Replies
17K Views
Ameanzisha ugomvi na walioshindana nae kwenye kura za maoni mwanza sasa akienda mwanza anawatafuta wazee wachache na kujificha nao wanapanga mbinu za kuwamaliza wenzake alileta hoja ya kijinga...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Ni Waziri Mkuu mwenye huruma na upendo kuliko wote waliopita,amewahi kulia juu ya mauaji ya Albino, ni mtoto wa Mkulima anayejua kijiji na kilimo kwanza nini. Pinda amekaa Ikulu muda mrefu kama...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Napenda kutoa kilio changu kwa waziri wa Ofisi ya Rais, Menejiment ya utumishi wa Uma, juu ya mambo wanayotendewa watumishi walioko katika Halmashauri za wilaya. Huwa sipendi kuropoka na nalisema...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Now talk about maamuzi magumu, swift decision making and no hadithi za kubembelezana kuvuana vyupi na magamba! 43 lives gone, three people fired, kwetu, lazima tuunde tume, kisha kamati, uje...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Ni maswali ambayo sio rahisi kwangu kupata majibu,… Kwamba aliye kuwa katibu mkuu wa wizara ya nishati na madini alikua ana Tafuta hela ili awape “hongo ” wabunge wa bunge la jamhuri ya muungano...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Nchi hii sijui kama itakuja ipate kiongozi mwingine wa ajabu kama tuliye nae sasa. Hebu fikiria, katikati ya tatizo kubwa la ukosefu wa umeme ambalo kila mtu anashauri tuite janga la kitaifa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mnamo mwanzoni mwa miaka ya 1990, Wakati wa kipindi cha vuta nikuvute nchini kuhusu suala la Muungano na Zanzibar kujiunga na OIC, Mwalimu Nyerere alikua akiangalia kwa karbu mwenendo, matendo na...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
• Yahaha kulibakisha jimbo na Tamali Vullu SPIKA wa Bunge, Anne Makinda, amemwandikia barua Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Lewis Makame, kumjulisha juu ya kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Press release July 14, 2010, Sidon Receives Approval for High-Grade Gold Prospect in Tanzania VANCOUVER, BRITISH COLUMBIA, (MARKETWIRE via COMTEX) Sidon International Resources Corp...
0 Reactions
95 Replies
10K Views
IMEBAINIKA uchotaji wa mamilioni ya fedha katika Idara na taasisi za umma zilizoko chini ya Wizara ya Nishati na Madini kugharamia shughuli zinazohusiana na gharama za bajeti ya wizara hiyo...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
  • Closed
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Isambazwe Mara Moja Alhamis, Julai 21, 2011 KUITISHWA KWA MAANDAMANO YA AMANI NA MKUTANO WA WAZI Mahali: Uwanja wa Mwembeyanga, Temeke, Dar es Salaam Tarehe...
8 Reactions
76 Replies
7K Views
Serikali nzima kitanzini Tuesday, 19 July 2011 21:11 Neville Meena, Dodoma Mwananchi WAKATI umma wa Watanzania ukisubiri hatua zitakazochukuliwa na Rais Jakaya Kikwete dhidi ya Katibu...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wajameni mei naomba kusema haya, ile 3% ya nyongeza za mishahara haina tija kwa wafanyakazi na ningeshauri hizo 29 mio. pounds zingeelekezwa katika kuboresha mishahara ya wafanyakazi! maana hiyo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Japokuwa Watanzania hawatumii ukabila au dini ya mtu kupima uwezo wake kiakili na maamuzi,ila Watanzania uamini kwenye JADI ya kuwa kuna MAKABILA hapa Tanzania yanaaminika kwa misimamo yao ya kuwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba Nape ameahirisha ghafla ziara yake ya Arusha na kuamua kurudi Dodoma
0 Reactions
0 Replies
854 Views
Kipindi cha medani za siasa na uchumi kitakachorushwa na star tv kesho kuanzia saa nne na nusu asubuhi kitamkutanisha heche mwenyekiti wa bavicha na nape nnauye
0 Reactions
184 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…