Sikujua kama wenje ni kivuli kabisa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sikujua kama wenje ni kivuli kabisa...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Wa Maono, Jul 22, 2011.

 1. M

  Mzee Wa Maono Member

  #1
  Jul 22, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ameanzisha ugomvi na walioshindana nae kwenye kura za maoni mwanza
  sasa akienda mwanza anawatafuta wazee wachache na kujificha nao wanapanga mbinu za kuwamaliza wenzake
  alileta hoja ya kijinga sana kwenye cc ya chama eti, vijana fulani wafukuzwe chama ili wasimwangushe
  mbaya zaidi amekua kama masha, anagombana na hapatani na madiwani wake kama alivyokuwa masha,sasa ajiandae tu.
  Alitukana wazee wa kisumkuma eti waliomchagua ni vijana sio wazee.
  amehamia dsm na familia yake na kuwaacha watu solemba na akienda mwanza anapitapita mitaani tu na kujifanya anakula kwa mama ntilie kumbe anawaroga vijana wampende,
  ALIZUIA BAJETI YA MPANGO WA KUWASOMESHA WATOTO WA MWANZA, KISA YEYE ANA KAMFUKO KAKE KA KUWASOMESHA WATOTO YATIMA, NA HAWAPEWI WOTE NAFASI HIYO, ALIIPINGA KWA NGUVU ZOTE ILI APATE CHATI NA KA MFUKO KAKE.
  hahaaa amepotea kabisa au pengine amegundua harudi tena kugombea, lakini watu wanadai alichoahidi aache ujinga huu, uhamba wa kuhamia dsm ni wawajinga .
  Kanakunywa pombe kishamba sana, wakati wa kampeni aklikuwa kanajinadi kuwa kameokoka..kshnzi kabisa.

  NINAMSHAURI AACHE UGOVI NA MADIWANI NA VIJANA AMBAO NI WA MWANZA, TENA HATA SISI TUKIMALIZA MASOMO TUTAENDA MWANZA KUWAULIZA ALICHOKIFANYA, CDM ISMKUMBATIE MJINGA KAMA HUYU WATU WAMEKUFA KWA UJINGA WAKE NA ANAHAMIA DSM, NI UFA...LA KBISA.
   
 2. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,692
  Likes Received: 505
  Trophy Points: 280
  Shear nonsense and gossips.
   
 3. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,640
  Likes Received: 21,852
  Trophy Points: 280
  Mzee wa Maono, maono haya yalikujia usiku ukiwa tayari umeshapiga viroba nini? sio kila unachoota usingizini ukilete hapa.
   
 4. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 711
  Trophy Points: 280
  jaribu kwenda hata kubrashi viatu kwa shoe shine kuliko kukaa hapa na kuandika umbea!!!

  hilo vumbi wewe unaona ni sawa?
   
 5. M

  Mbalinga JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 1,380
  Likes Received: 407
  Trophy Points: 180
  Huu ni upuuzi, sasa unataka sisi tujadili umbeya? ama ndugu yako ndiye aliangushwa kwenye kura ya maoni, uongo na fitina kama hizi hazina nafasi CDM. Kama utaendelea nazo nakushauri uhamie magamba
   
 6. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #6
  Jul 22, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  ila huyu ni moja ya wawakilishi wetu mahiri na makini kupitia chama chetu na kwakweli ni muwakilishi halisi wa watu wake na hakika huyu si kivuli ila mfuatiliaji hodari wa kazi alizotumwa na wananchi na serikali ya chama chetu cha ccm
  [​IMG]
   
 7. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  duh! Hizi habari ndo nazisikia kwako!
   
 8. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #8
  Jul 22, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mzee wa ngono....hahahhaa....jamaa alikataa 900 milion unadhani mchezo huyo.
   
 9. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #9
  Jul 22, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Inaonesha namna gani ulivyoni mpumbavu,thread yako haiendani na maelezo yako,inaonesha una chuki binafsi na Mh Wenje tena inaonekana wewe wa kuja tuu kwa sababu haujui hata yeye ni Waziri kivuli so endelea kubaki na ujinga wako,chuki zako peleka huko huko
   
 10. M

  Mzee Wa Maono Member

  #10
  Jul 22, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acheni kutukana, hapo cdm mnaonekana hamna uwezo wa kjenga hoja, jibuni kama hajahamia dsm na sasa semeni mkewe na wanawe wanaishi wapi, je wamachinga anaowaambia wauze bidaa hadi misikitini wataishi katika maisha ya umachinga hadi lini, je nyie mnaijua mwanza/nyamagana au mnakurupuka tu, jibuni wenje ana nini alichoanza kuchora cha maendeleo ya siku zijazo acheni kushibikia tu mtaaibika.
  Subirini siku zifike tu muone wash...zi sana.
   
 11. Dume la Mende

  Dume la Mende JF-Expert Member

  #11
  Jul 22, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 419
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hili nalo neno! mzee wa maono endelea kutupa data
   
 12. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #12
  Jul 22, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wenje yupo Dar na familia yake , wanakaa Mbezi Beach. Wana mwanza mmeliwa , ndio tatizo la kuchagua watu msio wajua na macheki bob
   
 13. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #13
  Jul 22, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  yaani wewe ninavyokuchukia wewe! WEWE JINGA LA KWANZA PUMBAFU ZAKO!
   
 14. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #14
  Jul 22, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,692
  Likes Received: 505
  Trophy Points: 280
  Shear nonsense and gossips. Tujibu nini?
   
 15. Dume la Mende

  Dume la Mende JF-Expert Member

  #15
  Jul 22, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 419
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mods, BAN huyu mtu ametumia lugha ya matusi na ya kuudhi please
   
 16. Jaxx

  Jaxx Senior Member

  #16
  Jul 22, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Angalieni post zake ndiyo muanze kumuhukumu, la sivyo mnamuonea bure!!!...........Gamba at work!!!.
   
 17. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #17
  Jul 22, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 14,998
  Likes Received: 3,175
  Trophy Points: 280
  Asa kama unachuki binafsi nae afu unakuja kumwamsha hapa,,huoni umemsaidia na atajirekebisha?

  Hilo la kuhamia dar,,litamkeketa wenje kwani yeye mwenyewe binafsi kwa kauli yake alitudanganya kuwa hata hama Mwanza.

  Ila nakumbuka kwenye mkutano wake wa mwezi wa nne alitudanganya kuwa yuko dar mda wote kwasababu za kimasomo.
   
 18. M

  Masuke JF-Expert Member

  #18
  Jul 22, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Mkuu hata kama angekuwa hajahamia Dar, lile jimbo hawana kwawaida ya kurudia mbunge, anzia kwa Shomari(1995-2000), Stephen Kazi(2000-2005), Lau Masha(2005-2010) na sasa Wenje labda atavunja rekodi na kushikilia vipindi viwili au zaidi.
   
 19. T

  Taifa_Kwanza JF-Expert Member

  #19
  Jul 22, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 443
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Dar es Salaam anaishi wapi?
   
 20. J

  Jmpambije Member

  #20
  Jul 22, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mkuu, mbona hii imekaa ki-binafsi zaidi, kama mna tiffu bora muyamalize hukohuko.
   
Loading...