Heche na Nape katika kipindi cha medani za siasa na uchumi cha star tv

USTAADHI

JF-Expert Member
May 10, 2011
1,516
136
Kipindi cha medani za siasa na uchumi kitakachorushwa na star tv kesho kuanzia saa nne na nusu asubuhi kitamkutanisha heche mwenyekiti wa bavicha na nape nnauye
 
Nitatazama, tunategemea hoja zaidi ya malumbano ya kivyama, kila la kheri vijana wenzetu.
 
Sidhani kama siasa na kejeli za kuwadharau Watanzania zitakuwepo. Hapo tunategemea michango yao ya kujenga. Hata ivo ningependa Bavicha na Uvccm ili sisi kama vijana tupate wasaa wa kumjua yupi anawakilisha vijana kizalendo. Twasubiri tuone!
 
Wakuu leo kunatarajiwa kufanyika Press Conferences 2 za muhimu, Dodoma na Dar. Wakati Ndugu John John Mnyika atakuwa akimvaa, kwa hoja, PM Pinda kwa utetezi wake dhaifu wa posho, ikiwemo kauli ya ajabu kabisa kuwahi kutolewa na mtu wa ngazi yake, eti zinatumika kukaa mfukoni na kuwapatia 'ombaomba' wanaokutana nao nje, ndugu John Wegesa Suguta Heche, yeye atakuwa Dar es Salaam, akipiga hoja kadhaa, ambazo kwa taarifa zilizopatikana mpaka sasa zitakuwa pamoja na mikakati ya BAVICHA, Hali ya Kisiasa nchini- mauaji ya polisi, migomo ya wanafunzi vyuo vikuu, bajeti na chama la magamba.

Lakini pia, ndugu Heche, Mwenyekiti wa BAVICHA taifa atakuwa Star Tv Vs Nape Nnauye kwenye kipindi cha Medani za Siasa na Uchumi, hapo saa 4 nafikiri na nusu hivi, zipo nondo hapo wakuu watakaokuwa na muda watege sikio. Naomba kuwasilisha wandugu.
.
 
mkuu ni vyema ukaendelea kutujuza kwa wale watakao kuwa mbali na tv
tunashukuru kwa alert hii
 
Fabulous! Kazi iliyopo sasa ni kuweka incompetence ya magamba peupe ili kila mtu ajue extent ya uozo katika fikra zao. Good job sasa kuna watu ambao wanaradiate kwa wananchi kushindwa kwa CCM kuongoza nchi ya dunia ya sasa.
 
Wakuu leo kunatarajiwa kufanyika Press Conferences 2 za muhimu, Dodoma na Dar. Wakati Ndugu John John Mnyika atakuwa akimvaa, kwa hoja, PM Pinda kwa utetezi wake dhaifu wa posho, ikiwemo kauli ya ajabu kabisa kuwahi kutolewa na mtu wa ngazi yake, eti zinatumika kukaa mfukoni na kuwapatia 'ombaomba' wanaokutana nao nje, ndugu John Wegesa Suguta Heche, yeye atakuwa Dar es Salaam, akipiga hoja kadhaa, ambazo kwa taarifa zilizopatikana mpaka sasa zitakuwa pamoja na mikakati ya BAVICHA, Hali ya Kisiasa nchini- mauaji ya polisi, migomo ya wanafunzi vyuo vikuu, bajeti na chama la magamba.Lakini pia, ndugu Heche, Mwenyekiti wa BAVICHA taifa atakuwa Star Tv Vs Nape Nnauye kwenye kipindi cha Medani za Siasa na Uchumi, hapo saa 4 nafikiri na nusu hivi, zipo nondo hapo wakuu watakaokuwa na muda watege sikio. Naomba kuwasilisha wandugu..
Toa muda wa uhakika, saizi asubuhi saa mbili STAR TV, tuongee asubuhi wapo kina Mbatia
 
Wakuu leo kunatarajiwa kufanyika Press Conferences 2 za muhimu, Dodoma na Dar. Wakati Ndugu John John Mnyika atakuwa akimvaa, kwa hoja, PM Pinda kwa utetezi wake dhaifu wa posho, ikiwemo kauli ya ajabu kabisa kuwahi kutolewa na mtu wa ngazi yake, eti zinatumika kukaa mfukoni na kuwapatia 'ombaomba' wanaokutana nao nje, ndugu John Wegesa Suguta Heche, yeye atakuwa Dar es Salaam, akipiga hoja kadhaa, ambazo kwa taarifa zilizopatikana mpaka sasa zitakuwa pamoja na mikakati ya BAVICHA, Hali ya Kisiasa nchini- mauaji ya polisi, migomo ya wanafunzi vyuo vikuu, bajeti na chama la magamba.

Lakini pia, ndugu Heche, Mwenyekiti wa BAVICHA taifa atakuwa Star Tv Vs Nape Nnauye kwenye kipindi cha Medani za Siasa na Uchumi, hapo saa 4 nafikiri na nusu hivi, zipo nondo hapo wakuu watakaokuwa na muda watege sikio. Naomba kuwasilisha wandugu.
.

kwanini magamba wawe kibwagizo kila siku?
shit,i never trusted heche and now he's proving i was right!
 
Nisaidie mkuu, " Saa 4 nafikiri na nusu hivi", huu ni muda gani? mimi mwinyi

saa 4 na nusu hivi,
nusu ya 4 ni 2,
so chukua 4+2 unapata 6 (tupilia mbali mda wa "nafikiri")
kwa hiyo basi;-
"saa 4 nafikiri na nusi hivi" ina maanisha saa 6 (au zaidi ya saa6 ukiongoza "nafikiri")

Ridhiwani umeelewa?
 
Masaa ya A/mash 045'kwenye GMT,05'- 37'kus utaipata nchi ya Tz
 
Back
Top Bottom